Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mama ni mzigo kwa watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wenu upo.Tuache kukurupuka!! Nyumba ya Mkuu wa Mkoa ilikua inakaliwa na mtangulizi wake hvyo ni lazima mtangulizi wake aondoke kwanza na ukarabati ufanyike ndipo ahamie. Halaf mlitaka akakae kwenye lodge ya elf50 acheni zenu bana
Tatizo nini?Kwa hali hii, tutafika?
Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X
Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara wa watu 20.
Hii ni siyo chini ya Sh105 milioni. Hizi ni pesa za nani? Bashite hataki kuingia katika nyumba ya serikali. Kwanini unaruhusu haya yatokee? Je, unakubaliana naye katika huu UFISADI? Kwanini asiingie katika nyumba ya serikali?
View attachment 2960954
Kwa hali hii, tutafika?

Kwani mnajua kwamba hizo hela kaiba? Kama ni zake je?Kwa hali hii, tutafika?
Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X
Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara wa watu 20.
Hii ni siyo chini ya Sh105 milioni. Hizi ni pesa za nani? Bashite hataki kuingia katika nyumba ya serikali. Kwanini unaruhusu haya yatokee? Je, unakubaliana naye katika huu UFISADI? Kwanini asiingie katika nyumba ya serikali?
View attachment 2960954
Kwenda huko.Mzee mwenzangu hulali?
Kwenda huko.
Wewe jibu mada, wachana na usiowajuwa.
Endelea na mada, wachana na mambo ya watu binafsi.Kuna mada ya kujibu hapa Mzee mwenzangu? Kichwa cha habari kinasema Makonda kakataa, content zinasema anaishi Hotelin, kuishi Hotelin sio kukataa, pengine kuna sababhu, ingawa I hate Makonda na ccm with passion, ila siwezi muongea vibaya bil sababu.
Endelea na mada, wachana na mambo ya watu binafsi.
Hunijuwi sikujuwi.
Mkuu pesa yake?? Mtumishi wa serikali?? Msafara binafsi?? Really!!!Acheni ujuaji usio tija ,kama hamjui taratibu za kukabudhiana nyumba za serikali ni jambo jema kuuliza,by the way unaushahidi gani kuwa hizo gharama za kulala hotel kwa comrade Makonda ni juu ya mlipa kodi,what if ni kwa pesa yake .?
Kwa hiyo wangenyamaza?Ukurutu huanza kama upele.Unajua hilo?Hii ndio kazi ya upinzani
Ku tweet tu
Katika ufisadi unaoendelea TZ KWEnye miradi, huu nao ni ufisadi au umeleta umbeya
Ndio maana mmletewa tume huru kwa jina
Hamna akil
🤣 🤣 🤣Wewe endelea kupiga Kelele tu humu ndani! Makonda anakaa kwake Masaki akiwa Dar akiwa kwao Mwanza anakaa Capri Point kwake unataka akiwa Arusha akae Lodge ili kukufurahisha wewe mjanja uchwara!
Mshamba kakukuta mjini kakuzidi mafanikio nikujurishe tu katika watu wenye Pharmacy kubwa hapa nchini Makonda yupo na kwenye Real Estate ukifika Capri point Mwanza utalia maana una wivu sana na wanaume!
Usiwe ka mpumbavu. Ni kazi ya wananchi wote kupiga vita ufisadi huu wa Bashite. Siyo kazi ya upinzani tu.Hii ndio kazi ya upinzani
Ku tweet tu
Katika ufisadi unaoendelea TZ KWEnye miradi, huu nao ni ufisadi au umeleta umbeya
Ndio maana mmletewa tume huru kwa jina
Hamna akil
Acha ujinga! Upinzani unaopinga matumizi mabaya ya pesa za walipa Kodi ndio tunaoutaka! Kwani angelala Mt Meru Hotel ya USD 200 kungekuwa na shida gani. Yaani RC alale hotel ambayo hata Biden akija analala? Vp kuhusu hiyo convoy.Eti upinzanzi kwa style hii tuwape Nchi.
Hapana kwa kweli bora nikaa bila kupiga kula