Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ingekuwa na maana kama viongozi wangekuwa wanakaa muda mrefu katika hizo nyumba, kuna viongozi wanabadilishwa hata mwaka haujaisha.Nyumba akihama kiongozi huwa zinakarabatiwa kwanza kabla ya mwingine kuingia, Rangi na Furniture ni kawaida sana
Hapo ikalatikwa kubadilisha mashuka na foronya tu.