Makonda aitwa Mungu, ndio anatengezwa mwingine wa kutukuzwa na kuogopwa?

Makonda aitwa Mungu, ndio anatengezwa mwingine wa kutukuzwa na kuogopwa?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Mwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo.

Ndio ameanza kuandaliwa taratibu mtu wa kuogofwa na kutukuzwa kama Mwendazake?

Kwenu Wakuu.

Mwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo...
Karibu atakufa. Hamna aliyechukua sifa za Mungu halafu akaishi

Matendo Ya Mitume 12:20-23​

Neno: Bibilia Takatifu​

Kifo Cha Herode​

20 Herode alikuwa amekasirishwa sana na watu wa Tiro na Sidoni. Watu wa miji hiyo miwili wakaungana pamoja wakapeleka wajumbe wakaonane na Herode. Wajumbe hao wakapata kibali cha Blasto, mtumishi mwaminifu wa Mfalme Herode, ili waonane na mfalme kutaka amani kwa kuwa miji hiyo ilipata chakula chake kutoka katika milki ya mfalme.

21 Siku ya hao wajumbe kumwona mfalme ilipofika, Herode alivaa mavazi rasmi ya kifalme akaketi juu ya kiti chake cha enzi akaanza kutoa hotuba.

22 Alipokuwa akihutubu watu walimshangilia, wakapiga kelele wakisema, “Hii ni sauti ya Mungu! Sio sauti ya mwanadamu!” 23 Mara malaika wa Bwana akampiga Herode; akaliwa na funza akafa kwa sababu hakumpa Mungu utukufu
 
Mwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo.

Ndio ameanza kuandaliwa taratibu mtu wa kuogofwa na kutukuzwa kama Mwendazake?

Kwenu Wakuu.

Makonda bwana

Kwani hajui kuwa sisi ni Miungu?

Bwana wa Mabwana

Mfalme wa Wafalme

Mungu wa miungu

Hao mabwana, wafalme na miungu ni akina nani??

Ndio sisi jamani mbona hamjiamini??
 
Kwenye mikutano ya kisiasa lama hii, Herode aliitwa Mungu, Maraika akatumwa papo hapo akatwanga akadedi, na waliomuita wakamkimbia anafia jukwaani.

Kuanza kuitwa Mungu na ukafurahi au ukapinga huku kimoyomoyo unaahukuru ni hatua chache kwenye anguko.

Aepuke kabisa hilo
 
UKIITWA MUNGU LAZIMA UFE TU

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app

Matendo Ya Mitume 12:20-23

Neno: Bibilia Takatifu

Kifo Cha Herode​

20 Herode alikuwa amekasirishwa sana na watu wa Tiro na Sidoni. Watu wa miji hiyo miwili wakaungana pamoja wakapeleka wajumbe wakaonane na Herode. Wajumbe hao wakapata kibali cha Blasto, mtumishi mwaminifu wa Mfalme Herode, ili waonane na mfalme kutaka amani kwa kuwa miji hiyo ilipata chakula chake kutoka katika milki ya mfalme. 21 Siku ya hao wajumbe kumwona mfalme ilipofika, Herode alivaa mavazi rasmi ya kifalme akaketi juu ya kiti chake cha enzi akaanza kutoa hotuba. 22 Alipokuwa akihutubu watu walimshangilia, wakapiga kelele wakisema, “Hii ni sauti ya Mungu! Sio sauti ya mwanadamu!” 23 Mara malaika wa Bwana akampiga Herode; akaliwa na funza akafa kwa sababu hakumpa Mungu utukufu
 
Mungu ninayemuamini uwa hadhihakiwi na anajibu Kwa mapigo mazito yasiyojibika.

Nakuomba Paul Makonda Leo piga goti muombee toba huyo mzee Kwa Mungu aliye hai ili uepukane na mapigo ya Mungu aliye hai
 
Punguza ujuaji wewe.

Eti kwenu wakuu..rubbish
Jaribu kusoma katikati ya mstari utabaini tatizo kubwa sana. Kwanza, huyo mzee anaonekana kapangwa kuzungumza hivyo lakini akasahau script na kuishia kumuita Makonda Mungu na hata alivyokatazwa aliendelea hiyo inatosha kuamini mzee alikuwa kwenye script. Ingekuwa Mimi ndio ameanza Kwa maneno hayo hapo hapo ningeamuru anyang'anywe maiki lakini Kwa sababu alikuwa kwenye script hawakuweza kumpokonya maiki.

Yeyote alimpangia huyo mzee script hiyo apige goti Kwa niaba yake atubu maana Mungu ni mkuu sana
 
Huna akili ya kuniambia nisome katikati ya mistari.

Umewekewa video angalia ndio uje na fuvu lako apa
 
” 23 Mara malaika wa Bwana akampiga Herode; akaliwa na funza akafa kwa sababu hakumpa Mungu utukufu[/QUOTE]

23.hapo ndo ujumbe unaoonesha tatizo lilipokuwa
 
Back
Top Bottom