Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Mwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo.
Ndio ameanza kuandaliwa taratibu mtu wa kuogofwa na kutukuzwa kama Mwendazake?
Kwenu Wakuu.
unaumia nn acha iwe hivo ulitaka utukuzwe ww??
kwa lipi