Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Karibu atakufa. Hamna aliyechukua sifa za Mungu halafu akaishiMwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo...
UKIITWA MUNGU LAZIMA UFE TUMwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo...
Jiwe aliitwa mh. Mungu hakuchukua round akalamba mchanga huyu itakuwa hivyo hivyoMwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo...
Makonda bwanaMwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo.
Ndio ameanza kuandaliwa taratibu mtu wa kuogofwa na kutukuzwa kama Mwendazake?
Kwenu Wakuu.
Wapi Magu aliitwa Mungu! Tatizo sio kuitwa Mungu! Tatizo ni kusikia wanakuita alafu ukanyamaza! Inabidi uwakemee! Ukinyamaza inamaana unataka kutwaa utukufu wa Mungu! Utukufu ni wa Mungu peke yake!Jiwe aliitwa mh. Mungu hakuchukua round akalamba mchanga huyu itakuwa hivyo hivyo
Kuna waziri alimwita boss wake Mh. MunguKaribu atakufa. Hamna aliyechukua sifa za Mungu halafu akaishi
Jaribu kusoma katikati ya mstari utabaini tatizo kubwa sana. Kwanza, huyo mzee anaonekana kapangwa kuzungumza hivyo lakini akasahau script na kuishia kumuita Makonda Mungu na hata alivyokatazwa aliendelea hiyo inatosha kuamini mzee alikuwa kwenye script. Ingekuwa Mimi ndio ameanza Kwa maneno hayo hapo hapo ningeamuru anyang'anywe maiki lakini Kwa sababu alikuwa kwenye script hawakuweza kumpokonya maiki.Punguza ujuaji wewe.
Eti kwenu wakuu..rubbish
Hakukemea badala yake akakenua,Mungu hachagii utukufu wake na binadamuWapi Magu aliitwa Mungu! Tatizo sio kuitwa Mungu! Tatizo ni kusikia wanakuita alafu ukanyamaza! Inabidi uwakemee! Ukinyamaza inamaana unataka kutwaa utukufu wa Mungu! Utukufu ni wa Mungu peke yake!
Jamaa akaiaga dunia fastaKuna waziri alimwita boss wake Mh. Mungu
Huna akili ya kuniambia nisome katikati ya mistari.Jaribu kusoma katikati ya mstari utabaini tatizo kubwa sana. Kwanza, huyo mzee anaonekana kapangwa kuzungumza hivyo lakini akasahau script na kuishia kumuita Makonda Mungu na hata alivyokatazwa aliendelea hiyo inatosha kuamini mzee alikuwa kwenye script. Ingekuwa Mimi ndio ameanza Kwa maneno hayo hapo hapo ningeamuru anyang'anywe maiki lakini Kwa sababu alikuwa kwenye script hawakuweza kumpokonya maiki.
Yeyote alimpangia huyo mzee script hiyo apige goti Kwa niaba yake atubu maana Mungu ni mkuu sana