Twajua hivyo. Ila afadhali yeye mara 100. Angalau aonesha kuwaonea huruma watu. Tanzania hii ilivyo, hata akija Orangutan akataka kuendesha nchi, nitampa kura!Sasa kuvunja mkutano ndio ametatua tatizo? Au ameelewa kilicho nyuma ya mkandarasi kutolipwa?
Tatizo huyu RC hutafuta jambo la kumtangaza kwenye vyomba vya habari.
Kesho usishangae akaamua kulia Kwenye mkutano Ili Nchi imwone.
Hatumtaki tena, arudi dar akagombee udiwani huko sijui bonyokwa, huku hatumtaki tenaMonduli huko si ndio mbunge ni Fred Lowassa
Pia rushwa zinachangia. Unaweza kukuta ktk mnyororo wa maamuzi mmoja akihisi kapewa rushwa kidogo basi anahakikisha anazuia malipo.Halimashauri nyingi nchini, zimemesabisha vifo vya ghafla na ama magonjwa mbali mbali ya presha na moyo kwa kudhulumu wakandarasi na ama kuwacheleweshea haki zao
Ajabu ni kwamba, wanaokuwa wanafanyiwa hayo ni wakandarasi wa ndani wenye ngozi nyeusi
Huu ni upumbavu mkubwa sana, na bado kuna wajinga wanawatetea viongozi aina hiyo
Ngozi nyeusi ni laana? Inauma sana,
Makonda, Utalipwa mema na Mungu, acha wapumbavu waendelee na upumbavu wao! Tetea kila mtu na usonge mbele
InasikitishaMkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
View attachment 3001631
Shida ni nini tena kiongozi 😄Hatumtaki tena, arudi dar akagombee udiwani huko sijui bonyokwa, huku hatumtaki tena
Fanya wewe hiyo kazi tukuone basiuzuri makonda anachoweza ni intimidations tu, ila workdone is equal to zero,BASHITE FAFAFAA
Ulikuwa ni mkutano kati ya Inginia na nani hapo Wilayani hadi yeye akawa Mwenyekiti?! Makonda ni mzigo.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
View attachment 3001631
Ni suala la muda tu. Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-Makonda, Utalipwa mema na Mungu, acha wapumbavu waendelee na upumbavu wao! Tetea kila mtu na usonge mbele
Wwe bonyokwa siyo dar,dar inaishia ubungo! bonyokwa ni DSM!!Hatumtaki tena, arudi dar akagombee udiwani huko sijui bonyokwa, huku hatumtaki tena
Haya yote mkuu ushahidi upo?Ni suala la muda tu. Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Hii ndiyo inalingana na hoja iliyopo?Ni suala la muda tu. Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Susaaa! Kwani ukisusa sisi tunafanyaje? Susaaaaa!!Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
View attachment 3001631
Orangutan ndiyo niniTwajua hivyo. Ila afadhali yeye mara 100. Angalau aonesha kuwaonea huruma watu. Tanzania hii ilivyo, hata akija Orangutan akataka kuendesha nchi, nitampa kura!