Makonda akasirika na kuvunja mkutano

Makonda akasirika na kuvunja mkutano

Sasa kuvunja mkutano ndio ametatua tatizo? Au ameelewa kilicho nyuma ya mkandarasi kutolipwa?

Tatizo huyu RC hutafuta jambo la kumtangaza kwenye vyomba vya habari.

Kesho usishangae akaamua kulia Kwenye mkutano Ili Nchi imwone.
Twajua hivyo. Ila afadhali yeye mara 100. Angalau aonesha kuwaonea huruma watu. Tanzania hii ilivyo, hata akija Orangutan akataka kuendesha nchi, nitampa kura!
 
Halimashauri nyingi nchini, zimemesabisha vifo vya ghafla na ama magonjwa mbali mbali ya presha na moyo kwa kudhulumu wakandarasi na ama kuwacheleweshea haki zao

Ajabu ni kwamba, wanaokuwa wanafanyiwa hayo ni wakandarasi wa ndani wenye ngozi nyeusi

Huu ni upumbavu mkubwa sana, na bado kuna wajinga wanawatetea viongozi aina hiyo

Ngozi nyeusi ni laana? Inauma sana,

Makonda, Utalipwa mema na Mungu, acha wapumbavu waendelee na upumbavu wao! Tetea kila mtu na usonge mbele
Pia rushwa zinachangia. Unaweza kukuta ktk mnyororo wa maamuzi mmoja akihisi kapewa rushwa kidogo basi anahakikisha anazuia malipo.
 
Makonda, Utalipwa mema na Mungu, acha wapumbavu waendelee na upumbavu wao! Tetea kila mtu na usonge mbele
Ni suala la muda tu. Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
 
Serikali inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu. Huyo injinia kaambiwa alete nyaraka lakini hana. Atalipwa kwa ushahidi gani. Wakati anajenga nani alimuambia ajenge. Mkandarasi kabla ya kuanza ujenzi unatakiwa uwe na nyaraka zote zinazohusu ujenzi huo Yeye hana. Mkurugenzi atamlipa kwa ushahidi gani. Mkurugenzi yuko sawa kwa asilimia 100.
 
Ni suala la muda tu. Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Haya yote mkuu ushahidi upo?
 
Hii ndiyo inalingana na hoja iliyopo?

Mbona haya mambo yanamiaka minne sasa? Mbona huendi mahakani mkuu
 
Back
Top Bottom