Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa.
2. Mh. Mpina hivi karibuni alimtuhumu waziri mmoja ndani na nje ya bunge kwamba amevunja sheria ya sukari na ile ya manunuzi (public procurement act) kwa kuwapa mawakala wa mpesa na airtel money wenye mitaji ya shilingi million moja ku import & supply sukari ya thamani ya makumi ya mabilioni ya fedha. Maneno hayo yalilikasirisha sana bunge la JMT na chama cha mapinduzi. Bunge lilimralua vibaya na wajumbe wa NEC walioko bungeni (Msukuma na Kibajaji) waliahidi suala hilo kulifikisha NEC ili Mpina asiruhusiwe kugombea ubunge mwaka kesho kwa tiketi ya chama cha mapinduzi.
3. Huyu wa juzi ni kiboko yao, katamka maneno mabaya sana dhidi ya chama chake cha mapinduzi. Kasema kwenye mkutano wa hadhara mbele ya wananchi wa mkoa wa Kagera na mbele ya waandishi wa habari kuwa CCM ni wezi wabobevu wa kura katika chaguzi zote zinazofanyika nchini Tanzania. Akasema wizi huu wa kura wameufanya kwa muda wa miaka mingi na hata huu wa 2025 watafanya hivyo hivyo na Mungu atawasamehe.
Yaani huyu kakitukana vibaya na kukivua nguo chama chake. Uchafuzi huo kamwe hautafutika kwa vyo vyote vile. Lakini huyu jamaa hakuitwa na kamati ya maadili ya chama na badala yake chama kupitia mwenezi wake kilijibu tu kwamba aliyosema ni uwongo na jamaa akawajibu kwamba alikuwa anatania tu. Yakaishia hapo, hakuna kuraluliwa na mambo yanaendelea as usual. Jee ni kweli amepona? Eti alikuwa anatania. Alikuwa anamtania nani, chama au wanakagera? Tangu lini amekuwa mtani wa chama au wahaya? Huu utetezi ukikubalika basi Mpina na Makonda nao wautumie, kwamba waliyoyasema walikuwa wanatania tu.
5. Miaka michache iliyopita huyu jamaa na yule wa kwa Wagosi, maneno yao ya fyokofyoko dhidi ya mwenyekiti wa chama taifa, yalivuja kwenye mitandao ya jamii. Waliraluliwa vibaya sana bila kuchelewa. Enzi za Nyerere, Kolimba aliraruliwa mara moja alisema maneno ya fyoko fyoko.