Makonda alitoa wapi zaidi ya Sh. Bilioni moja kujenga nyumba binafsi. Je, mshahara wa Mkuu wa Mkoa kwa miaka 3 unatosha?

Makonda alitoa wapi zaidi ya Sh. Bilioni moja kujenga nyumba binafsi. Je, mshahara wa Mkuu wa Mkoa kwa miaka 3 unatosha?

IMG_5288.jpg

hii ndio akili zilivyo za ccm
 
bunge la katiba walilipwa pdm ya laki 3, tuanzie hapo!
Fanya kwamba bunge la katiba lilikaa kwa miaka miwili mfululizo na kila siku walikua wanalipwa laki 3. Kwa hivyo basi kwakuwa mwaka mmoja una siku 365 jumlisha na mshahara still Bilioni moja haifiki

Fanya chukua (300,000 x 365) x 2 = 219,000

Mwizi mkubwa yule afu eti anakwambia alikua mkuu wa mkoa wa Dar hajawahi kumdhulumu mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi anafikiri tumesahau !!!
 
Hao walioporwa mali zao (kina GSM) ndio wafungue mashitaka basi...

La sivyo huyo Makonda ataendelea kula maisha kama kawaida...
 
Sasa kwanini na ww usiende mahakamani kwa niaba ya wanzako wenye wasiwasi nae? unataka nani aende kwa ajiri yako..Serikali kuptia Dr Ashantu Kijaji ilishasema mwenye ushahidi na aende kortini.
Tayari ana kesi mahakamani ya kutumia vibaya madaraka ya umma.
 
Back
Top Bottom