Makonda alitoa wapi zaidi ya Sh. Bilioni moja kujenga nyumba binafsi. Je, mshahara wa Mkuu wa Mkoa kwa miaka 3 unatosha?

Ofcoz hakuna mtanzania mtumishi wa umma aliyeweza kujenga nyumba kwa pesa yake ya mshahara wachache wamepata mkopo bank Ila wengi wamejenga kwa pesa za wizi na rushwa huu ndio ukweli mtupu.
Yeye itakuwa alikata kamba kabisa akaenda kula mbali zaidi
 

Acha wivu ndugu.... Wakati wake umepita ... acha afurahie maisha....
Bila shaka una roho ya kimasikini sana mkuu.....
 
Kwani samia atatawala milele?
Huyo mjinga tu hajui lolote, SSH haivi vizuri na yeyote, angekuwa anaiva vizuri na huyo mtu asingetapatapa hivyo, au kurushwa rushwa na akina Kubenea, Kubenea siyo mjinga kumfungulia kesi huyo mtu, anajua kabisa hana back up yeyote kwa sasa
 
Wote majambazi hayo yanajuana, Awamu hii yote hayana kinga ya Rais, wanatapatapa! Bi Mkubwa hana chawa ambaye wanaweza kumtumia kupenyeza ujinga wao
Sio kweli, chawa wapo na wanazidi kuongezeka
 
Swali la kujiuliza ni mabosi wake akiwemo Jiwe, walitupiga kiasi gani?
 
Swali la kinafiki sana ilihali unajua kabisa hii nchi watu wanakula kutokana na urefu wa kamba zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…