Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Usidanganye watu. Makonda alikuwa pale kimkakati yaani kuwaua wapinzani wote. Ndo maana alianza na lisu kwanza kwa kummiminia lisasi Kama zote baadae akahamia clouds na lengo kumuua rugu akafanikiwa. Akahamia kwa manji akakimbia nchi. Akahamia kwa kikwete ikashindikana. Akataka kumuua mpaka mnyika. Mungu si athumani na yeye atanyea ndoo soonPaul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mshoga.
Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick.
Wavuta bangi na madawa ndio usiseme.
Makonda alidhibiti Dar iwe na maadili.
Misingi ya maadili ya uzurumati aliwezaPaul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mshoga.
Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick.
Wavuta bangi na madawa ndio usiseme.
Makonda alidhibiti Dar iwe na maadili.
Wanazungumza uchafu wa maadili, sijui mnasoma vipi? Hata heading umeshindwa kuielewa kweli???We unakaa dar ipi
Inawezekana unaongea tu
Huu mji Kuna sehemu hazifai au ukiona barabarani pasafi
Unaona na huku ndani ndani pasafi
Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mshoga.
Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick.
Wavuta bangi na madawa ndio usiseme.
Makonda alidhibiti Dar iwe na maadili.
😁 Ilikuwa, Kama mtu hajaoga hatakiwi akanyage mjini kabisaTUNAOMBA MAMA SAMIA AMRUDISHE HUYU MWAMBA AISEE DAR ILIKUWA NA NIDHAMU KABISA
Alisema wabunge wote waende Das salaam, kwa ruhusa maalum, mda wa vikao akiwaona atawakamata na kuwaweka ndaniMama ampe tu jiji lake limepoa Sana,aje atuchangamshe na matamko yake ya kijasiri.
Nilijua Sukuma gang mmeisha kumbe Bado mpoPaul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mshoga.