Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mashoga.
Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick.
Wavuta bangi na madawa ndio usiseme.
Makonda alidhibiti Dar iwe na maadili.