Makonda alizaliwa kuwa Kiongozi, ni aina ya watu adimu sana kwenye Uongozi wa Juu

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.

Makondaa.jpg

Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?

Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
 
Ndio maana aliongoza kikundi cha wasiojulikana kuteka, kutesa na kuua watu wasio na hatia
 
Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.

Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?

Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
Makonda kama Nzengeli tu

Anakiwasha
 
Hawa jamaa wajinga sana. Ukiwafuatilia vizuri ndo hawa hawa kipindi wametolewa kwenye uongozi kazi ilikuwa kulalamika humu. Saivi wamerudishwa kazi kujaza server humu kusifiana. Mbaya zaidi wanasifiana ujinga tu hakuna lolote la maana wanalofanya zaidi ya cheap popularity tu.
Jifunze kusema ukweli na kukubali ukweli.

Nigga face facts....
 
Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.

Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?

Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
hana jipya,zaidi ya kuwa na MAKALIO makubwa tu[emoji28]
 
Vipi kuhusu bi mchele, alizaliwa kuwa nani maana wewe ni nabii umejua kuhusu bashite tupe na huyu tuliyenae.
 
Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.

Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?

Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
Naunga mkono hoja,
Nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

P
 
mtampamba weee ila historia huwa iko pale pale, watu majinga na mazuzu kama makonda siku zote huwa wanalia kwa sauti kubwa kama debe tupu na kweli haliachi kuvuma, ila mara zote anguko lao ni kubwa mno, makonda hataweza kuwa na mwisho mzuri hata siku moja, tupo hapa
 
Usie mpenda kaja [emoji16][emoji16]Unateseka ukiwa wapi .

Mida hii Makonda anatatua shida za wana Mwanza ..ww unatatulia linda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom