Ndio maana aliongoza kikundi cha wasiojulikana kuteka, kutesa na kuua watu wasio na hatiaMimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?
Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
Hawa jamaa wajinga sana. Ukiwafuatilia vizuri ndo hawa hawa kipindi wametolewa kwenye uongozi kazi ilikuwa kulalamika humu. Saivi wamerudishwa kazi kujaza server humu kusifiana. Mbaya zaidi wanasifiana ujinga tu hakuna lolote la maana wanalofanya zaidi ya cheap popularity tu.Uzi wa 9 huu Leo tu
Makonda kama Nzengeli tuMimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?
Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
AahaaaaaMie niko pale nahesabu magoli
Anaogopeka kwa kuwa ni mtu wa vitendoHata walomchukia hawaonekani.
Ukiachana na nyota, huyu jamaa ana ile hali ya kuogopeka tu.
Jifunze kusema ukweli na kukubali ukweli.Hawa jamaa wajinga sana. Ukiwafuatilia vizuri ndo hawa hawa kipindi wametolewa kwenye uongozi kazi ilikuwa kulalamika humu. Saivi wamerudishwa kazi kujaza server humu kusifiana. Mbaya zaidi wanasifiana ujinga tu hakuna lolote la maana wanalofanya zaidi ya cheap popularity tu.
hana jipya,zaidi ya kuwa na MAKALIO makubwa tu[emoji28]Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?
Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
Naunga mkono hoja,Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?
Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
Usie mpenda kaja [emoji16][emoji16]Unateseka ukiwa wapi .mtampamba weee ila historia huwa iko pale pale, watu majinga na mazuzu kama makonda siku zote huwa wanalia kwa sauti kubwa kama debe tupu na kweli haliachi kuvuma, ila mara zote anguko lao ni kubwa mno, makonda hataweza kuwa na mwisho mzuri hata siku moja, tupo hapa
Kuna presidential candidates for 2025 rallies wanawake umewapendekezaNaunga mkono hoja,
Nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P