Legends tu ndo wataelewa hapaNaunga mkono hoja,
Nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P
Mnazidi kujamba huku mnakimbia mwishowe mtapotea kabisa...mtampamba weee ila historia huwa iko pale pale, watu majinga na mazuzu kama makonda siku zote huwa wanalia kwa sauti kubwa kama debe tupu na kweli haliachi kuvuma, ila mara zote anguko lao ni kubwa mno, makonda hataweza kuwa na mwisho mzuri hata siku moja, tupo hapa
Ni mjinga na kichaa ndio anaweza kuwaza Kama weweMimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?
Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
Umesahau kalioMakonda anatisha
Ana nyota kali
MPELEKE ASHIKE NAFASI YA UONGOZI WA FAMILIA YENU , SIYO KWA WENGINE, USIPOJICHUNGA UTASEMA ANAFAAA KUWA BABA YAKOMimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?
Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
Mlimsemea vby sana hvo muacheni afanye maisha yake wala msiumize roho zenu kwa yasiyo wahusu.mtampamba weee ila historia huwa iko pale pale, watu majinga na mazuzu kama makonda siku zote huwa wanalia kwa sauti kubwa kama debe tupu na kweli haliachi kuvuma, ila mara zote anguko lao ni kubwa mno, makonda hataweza kuwa na mwisho mzuri hata siku moja, tupo hapa
Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?
Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
Maneno machache ambayo bado yananirudia kichwani "Kudhulumu haki ya kuishi".Ban ya wamarekani ilisema hivyo.Naunga mkono hoja,
Nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P
WAJINGA MNAZIDI KUONGEZA KWA KASIMimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?
Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
Huku kujitekenya na kucheka wenyewe sijui tutaacha lini! It's a pity!Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti?
Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku naangalia hizi dkk 30 za mchezo zitaishaje.
I have some reservations about him.Nimetamani kujua elimu yako ili nikufahamu vyema lakini nimeona haina maana.
In short; huyu mtu wako hafai hata kuongoza kijiji!
hekima na busara ndio kipimo cha uongozi, kama huna hii kitu wewe hufai!
Huna ushahidi mkuu, kama uko nao na bila chenga, peleka mahakamaniNdio maana aliongoza kikundi cha wasiojulikana kuteka, kutesa na kuua watu wasio na hatia
Ni lazima utakuwa utakuwa kahaba,au mtoto wa kahaba.hana jipya,zaidi ya kuwa na MAKALIO makubwa tu[emoji28]
Hata majambazi huwa yana viongozi. Bila shaka huyu alizaliwa kuwa kiongozi wao.Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.