Pre GE2025 Makonda ameagizwa na nani kufanya maigizo Nchi nzima!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alipita tabora maji yalitoka kama ya Kilimanjaro, magari ya doria kila mahali πŸ˜‚πŸ˜‚, Paulo bana kamaliza wakafanya birthday ya kizimkazi huyoo akasepa, nipo na semi hapa nenda rusumo labda nitamkuta ngara
 
Wamefanya nini? Kwenye umeme, maji, rushwa, mfumuko wa bei?

Wengi wamekufa na biashara zao kufa kwa ajili ya umeme, maji, usalamq, rushwa.

Unajua umeme ukkizimwa ulaya utaua wangapi? Pia unaua wengi na kusabisha migogoro kwenye familia.

Unafikiri wangapi wamelufa kwa stress, biashara zao, mapato yao kwa ajili ya ujinga wenu wa kizima umeme?
 

Wewe mwenyewe usingepata umeme, maji, umeme wa magumashi unaokatika bila ratiba akili yako ingekukawa sawa.

Sasa hivi unalamba asali ila kijijini, ukoo wako bado unateseka.
 
Unaonyesha uchi wako wa akili hapa.
Unamlilia shida mtu ambaye hujamlipa kodi?
Unatoka familia maskini alafu una-roho ya kuombaomba uliyoridhi kwenye serikali kukopa chaakula wakati tuna amshamba na mvua maji yanaishia baharini.

Ruzuku wanayopokea siyo kodi ya wananchi?

Jinga kabisa wewe.
 
CHADEMA wamuite RPC kwenye mkutano alafu aje kujibu maswali jukwaani?
CHADEMA wamuite Afisa ardhi jukwaani aje na faili na
Ruzuku wanayopokea siyo kodi ya wananchi?

Jinga kabisa wewe.
Una UTI sugu wewe.
Ruzuku wanapokea kutokana na COVID-19 umesikia ni ya kukutatulia shida?
Huna elimu ya Uraia hata lanne sijui kama ulifika.
Ruzuku si inatumika kulipa mishahara waajiriwa wa chama ambao si lazma wame CHADEMA?
Ruzuku ndio ya kutatulia kero za wananchi wakati kuna bajeti kuu ya serikali?
Ruzuku ikishatatulia kwa kugawa huko mtaani, then CAG akidai risiti apewe chupi yako?

#Najifunza hii nchi ina, siyo wajinga tu, bali wapuuzi ukiwaona wana smart phone ila ni wapuuzi na wapumbavu kuliko hata ngiri maji.
 
Kwahiyo kwa hao kutofanya ndio MAKONDA amekuwa suluhisho, vaa taulo hilo limeshuka ukweni.

Ficha aibu yako na usiwe mjinga kwa kiwango hiki, wale watoto waliopatishwa divishion zeto Temeke Sec wana ufahamu kuliko wewe.

Mtu kama atekelezi majukumu yake anaondoshwa na si kuletwamtu mwengine ambaye hayupo kwenye mfumo.
MAKONDA azunguke nchi nzima hata miaka 5 mfulilizo akikemea wana-CCM kwa kuvamia maeneo ya wazi, kuacha mabanda ya chama machafu na kufedhehesha miji na majiji na si watendaji wa serikali.
 
CHADEMA wamuite RPC kwenye mkutano alafu aje kujibu maswali jukwaani?
CHADEMA wamuite Afisa ardhi jukwaani aje na faili na
sio lazima kuwaita hao maana wao chadema hawawezi kufanya hivyo ila inapaswa wawe na wanasheria wanaotembea nao kesi kama za uonevu palepale mna direct wanasheria wenu wazifuatilie na wawatete wananchi wa chini unadhani ni nani angewaona chadema wapigaji ila sababu hoja yao kuu kwa sasa ni katiba tu huku uelewa wa wananchi wengi ni mdogo kuhusu katiba nchi hii basi chadema hawasikiki wanabaki kuchoreka tu kama kituko kwa sasa.
 
Una UTI sugu kwenye ubongo wako.

Kwa hiyo walipokataa kupokea ruzuku ya covid 19 wafanayakazi wa Chama walifukuzwa na sasa wamerudishwa baada ya gaidi kukubali kulamba matapishi yake?
 
Alipita tabora maji yalitoka kama ya Kilimanjaro, magari ya doria kila mahali πŸ˜‚πŸ˜‚, Paulo bana kamaliza wakafanya birthday ya kizimkazi huyoo akasepa, nipo na semi hapa nenda rusumo labda nitamkuta ngara
Kwa sasa anaogopwa kuliko Majaliwa.
Amewekwa kimkakati kurudisha moyo wa SUKUMA GANG[Team JIWE iliyokuwa imebaki yatima].
Hongereni maji mmepata wallau alipopita huko.
 
Una UTI sugu kwenye ubongo wako.

Kwa hiyo walipokataa kupokea ruzuku ya covid 19 wafanayakazi wa Chama walifukuzwa na sasa wamerudishwa baada ya gaidi kukubali kulamba matapishi yake?
Unazidi kujishusha taulo si kwa wakwe zako, sasa mbele ya wanao wa kike ambao wanakaribia kuvunja ungo.

aliyekwambia COVID-19 wamerudishwa ni nani?

Unajielewa kweli wewe? Ulielewa hukumu ya Mahakama kuu , kanda ya Dar es salaam?
 

Cha ajabu Makonda matatizi asilimia 90% yametengenezwa na CCM.

Kauli za Makonda zingetolewa na Rais umeme, maji ungepatikana haraka.

Rais na wapambe wake wanakwambia hawana muda, ila wana muda kuhudhuria birthday.

Rushwa, ubabe kuchukua ardhi ya wajane, yatima, maskini ungepungua. Ardhi ya watanzania, mahakama, polisi, media vyote vinamilikiwa na wa familia chache, 1%. Not 95% of Tanzania.

Rais, serikali imejificha ikulu. Birthdays ni muhimu zaidi ya kutatua changamoto za wananchi.

Kuzima umeme nq maji umeua wangapi?
Najua wapambe mtakuja na sababu za ajabu ajabu na matusi. Poa.
 
maigizo yanakushughulisha mbaya sana, hupumui dah...

na badrooo...
huu ni mwanzo tu, mwisho mbona mtafurahi sana.... πŸ˜€
 
Unazidi kujishusha taulo si kwa wakwe zako, sasa mbele ya wanao wa kike ambao wanakaribia kuvunja ungo.

aliyekwambia COVID-19 wamerudishwa ni nani?

Unajielewa kweli wewe? Ulielewa hukumu ya Mahakama kuu , kanda ya Dar es salaam?
Kubwa Jinga kabisa

Kwa ruzuku aliyoanza kupokea gaidi inatokana na nini. Au unafikiri ruzuku ni zawadi na siyo kodi za wananchi?
 
Kwani kaijteua,ukiona waliomteua wapo kimya basi ujue ndiyo haohao waliomtuma!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Sisi ndo tunapenda hayo unayoyaita maigizo!!

Wewe na wenzako wenye hoja zenye mashiko tunawakaribisha tuwasikilize pia.

Wewe ni takataka
 
Hoja ya kipumbavu kutoka kwa Kubwa jinga!!

Nyie ndio mnagombea mapaja ya kuku nyumbani Kwa sababu tu wewe ndiye uliyemnunua kuku!! Ushamba mzigo. Haya angalia na Mimi nili join lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…