Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Nawajua hao vijana. Inasikitisha Watanzania kwenye hekima hawataki kuingia kwenye siasa hadi watu kama hawa wanaitwa akili kubwa.Hayo ni maoni yako na mimi siwezi kuyapiga rungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawajua hao vijana. Inasikitisha Watanzania kwenye hekima hawataki kuingia kwenye siasa hadi watu kama hawa wanaitwa akili kubwa.Hayo ni maoni yako na mimi siwezi kuyapiga rungu.
View attachment 2888158View attachment 2888159
Imekuwa wiki ya kutupiana vijembe kati ya mahasimu wa muda mrefu Husein Mohamed Bashe na Paulo Christian Makonda, mahasimu hao wa muda mrefu toka 2014 wakiwa katika makundi ya kuusaka urais wa 2015, Makonda ambae ni kijana wa Sitta adui mkubwa wa Mzee Lowasa walianza kutupiana maneno makali muda mrefu.
Makonda akiwa ziarani siku ya jana amemjibu waziri wa kilimo Bashe kuwa atamhoji tu kwasababu yeye ndio anakitafutia kura chama hicho.
Bashe alinukuliwa mwisho wa wikii hii akiwajia juu wafanyabiashara wa sukari kwa kufanya lobbying kwa Paul Makonda ili aondoe bei elekezi.
Rai Yangu: Ni vyema vyombo vya maamuzi visiingilie ugomvi huu kwasababu ni kutunishiana misuli kwa vijana wala hakuna jambo serios sana, asitokee wa kuonewa maana wote wanaviziana muda mrefu tu, asionewe mtu.
Bashe ana kibru thaana tyu. Makonda sema usiogope sema!!!View attachment 2888158View attachment 2888159
Imekuwa wiki ya kutupiana vijembe kati ya mahasimu wa muda mrefu Husein Mohamed Bashe na Paulo Christian Makonda, mahasimu hao wa muda mrefu toka 2014 wakiwa katika makundi ya kuusaka urais wa 2015, Makonda ambae ni kijana wa Sitta adui mkubwa wa Mzee Lowasa walianza kutupiana maneno makali muda mrefu.
Makonda akiwa ziarani siku ya jana amemjibu waziri wa kilimo Bashe kuwa atamhoji tu kwasababu yeye ndio anakitafutia kura chama hicho.
Bashe alinukuliwa mwisho wa wikii hii akiwajia juu wafanyabiashara wa sukari kwa kufanya lobbying kwa Paul Makonda ili aondoe bei elekezi.
Rai Yangu: Ni vyema vyombo vya maamuzi visiingilie ugomvi huu kwasababu ni kutunishiana misuli kwa vijana wala hakuna jambo serios sana, asitokee wa kuonewa maana wote wanaviziana muda mrefu tu, asionewe mtu.
Wewe ndiye kilaza mkubwa sana. Na mwaka huu utakufa na chuki zako binafsi kwa Mheshimiwa Makonda. Maana umepiga Majungu yako kwa Mheshimiwa Makonda mpaka umeona kila mtu amekupuuza, na sasa umebakia huna jipya zaidi ya kutekeseka tu moyoni mwako.Bashite ni kilaza hamuwezi Bashe.
Bashe na makonda nani maarufu ?😂😂Itakua ni ufala kumtumbua Bashe kwa ajili ya falla Bashite.
Bashe anajua anachokifanya lkn Bashiboy anasaka tonge na umaarufu
Hata Piere Liquid alikuwa maarufu lkn ni mtu hewaBashe na makonda nani maarufu ?😂😂
Ni hivi Makonda anagusa, anasikiliza changamoto za Watanzania maskini milioni 60.Bashe na makonda nani maarufu ?😂😂
Hii kauli sijaielewa chama kikubwa kuliko serikali? Yaani CCM ni Kubwa kuliko wananchi wenye nchi yao ?Chama ni kikubwa kuliko serikali.w
Anaetakiwa kumuhoji ni mwenyekiti ambaye ni raisiUkweli na jibu ni moja tu kuwa chama ni kikubwa kuliko serikali na ndicho kilichounda serikali.kwa hiyo Mheshimiwa Makonda ambaye ndiye msemaji wa chama anaweza kumuhoji na kutaka majibu kutoka kwa waziri yeyote yule akiwepo Bashe mwenyewe.kwa hiyo kama kwa mfano Mheshimiwa Bashe hataki kuhojiwa na kuulizwa na Mheshimiwa Makonda inatakiwa ajiuzulu haraka sana uwaziri wake ili Mheshimiwa Rais ateue waziri mwingine atakayetoa ushirikiano mzuri kwa chama, ambacho ndio kitakacho kwenda kuomba kura kwa wananchi.
Huu mchezo hauhitaji hasira wala kupandisha mabega wala kuvuta mdomo .chama ndio Top.
Nilikuwa najibu kuhusu umaarufu na sio mtu hewaHata Piere Liquid alikuwa maarufu lkn ni mtu hewa
Hakuna wanaume wanapiga vijembe, wajitazame uanaume wao hawa majamaa!!
Bashe ni akili kubwa, ni mtu makini anayejua kusimamia anachoamini, kubwa zaidi sio mnafiki.
Makonda ni akili ndogo, mtu anayeweza kutumika vizuri na baada ya matumizi akatupwa mbali. Yeye hajali, yeyote mwenye madaraka anaweza kumtumia kwa kazi yoyote.
Hakuwezi kuwa na vita kati ya akili kubwa na akili ndogo, hapo ni mmoja anaanika ujinga wake na mwingine anaanika ubora wake.
Kati ya hao wawili unaowafananisha kuna mmoja mtu hewa japo ni maarufuNilikuwa najibu kuhusu umaarufu na sio mtu hewa
Malumbano na mivurugano yenu; ndiyo furaha yetu sisi wapenda mabadiliko.
Usimdanganye Mheshimiwa Bashe na kumjaza upepo wa uongo. Chama ni kikubwa kuliko serikali.waziri hayupo juu ya chama.kwa hiyo lazima ufahamu ya kuwa Mheshimiwa Bashe Hawezi kuleta kiburi wala dharau wala jeuri kwa chama na viongozi wa chama akiwepo Mheshimiwa Makonda.
Mheshimiwa Bashe Anaweza kupigiwa simu na mheshimiwa Makonda ili atoe majibu na itampasa atoe majibu stahiki.
Naomba unijibu swali hili. Je katika wanaotakiwa kumuhoji au kumpa maagizo Mheshimiwa Bashe uliona mahali popote pale alipomtaja katibu mkuu? Huoni kuwa alimdharau na kuona hawezi kumpa maagizo yoyote yale? Unaona ni sawa hiyo? Huoni ni dharau kwa chama na viongozi wa chama?Anaetakiwa kumuhoji ni mwenyekiti ambaye ni raisi
Au katibu mkuu nchimbi mwenezi kazi yake ni kueneza na kufafanua sera za chama chake
Halafu mahojiano ni private kwenye sekretali zao huko sio public.....sababu basHe anatumikia watu wa vyama vyote...ila bashite only ccm
Hilo mm silijui nilikuwa najibu kuhusu umaarufu maana kuna mtu alisema makonda anatafuta umaarufuKati ya hao wawili unaowafananisha kuna mmoja mtu hewa japo ni maarufu
Chama ndio chenye serikali kwa hiyo hakiwezi kukaa kimya kinapoona mahali kuna changamoto nyingi zinazopigiwa kelele na wananchi. Chama ni lazima kitake ufafanuzi kwa waziri yeyote yule akiwepo Mheshimiwa Bashe.kwa hiyo kama Bashe anajiona ni mkubwa kuliko chama na viongozi wake akiwepo makamu mwenyekiti au katibu Mkuu n.k. basi atafute chama chake au ajiuzulu uwaziri ili Mheshimiwa Rais ateue mtu mwingine atakaye shirikiana na chama chetu.Lucas, Bashe katika nafasi yake ya uwaziri yeye kama mtumishi wa Umma, Chama hakiwezi kumwambia lolote. Hizi sio zama za chama kushika hatamu.
Chama kinatakiwa kuishauri serikali na kutoa maagizo kupitia vikao na sio kwa mtumishi wa Umma mmoja mmoja tena majukwaani kwa simu.
Acheni ujinga na kuhalalisha ujinga, ni nani aliwaloga nyie? Mbona mnakuwa wajinga hivi?