Pre GE2025 Makonda amjibu Waziri Bashe, asema atamhoji sababu yeye ndiye anakitafutia kura chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa CCM simuoni bora
 
Kwahiyo Makonda anataka kupiga cha juu kupitia sukari.Go Go Bashe
 
Kwa CCM simuoni bora
Kuna watu makini sana ndani ya CCM mkuu, tatizo ni kwamba kuna upande unaweza kuwa na ukashindwa kuonyesha ubora wako.

Kama wewe ni mwana CHADEMA,( kama sio utanisamehe) unawakumbuka wanachama wenu waliotoka huko na kuhamia CCM? Unawaonaje kwa sasa?


 
Acha kumpa kiburi kisicho na msingi.yeye hayupo juu ya chama na ni lazima Bashe akiheshimu Chama san.asilete kiburi na jeuri kwa chama na viongozi wa chama
Jibu kwa hoja .... acha kanjanja

Shida inaanza wengi hawawezi tofautisha mipaka ya chama na mipaka ya teuzi za kiserikali
 
Pamoja na yote ile kauli ya Bashe ilikuwa imejaa kiburi ndani yake….
 
Jibu kwa hoja .... acha kanjanja

Shida inaanza wengi hawawezi tofautisha mipaka ya chama na mipaka ya teuzi za kiserikali
Mimi naona watu wanapaplishi mambo,MBONA MWENYEEZI alipokuwa Arusha alimhoji Bashe kuhusu kupanda kwa bei ya sukari,na Waziri Bashe alitoa ushirikiani sana mpaka akatoa bei elezi ya nchi nzima ,MWENEEZI alimsisitiza Bashe asisite kuwachukulia hatua woote wanaovuruga bei elekezi,
 
Lakini baada ya hapo akakaa kikao na wadau akatoa kauli zile ambazo zilionesha dharau sana kwa chama na viongozi wake…hakupaswa kunena yale mbele za watu wakati anajua fika chama kina nguvu kuliko yeye! Hata Samia mwenyewe nje ya CCM hana nguvu!
 
Nyie ndo mnamponza Bashe. Siasa za CCM haziko hivyo. Bashe ana angles nyingi za kushughulikiwa tena kirahisi sana. Kibaya zaidi nyie wapinzani mnavyomsifia ndo mnaharibu zaidi
 

Kwamba waachwe waendelee kutafutana. Alafu siku tuwape ulingo wamalizane kikubwa
 
Anaacha bandari yao inauzwa kule Somaliland halafu analeta mazarau hapa, patachimbika
 
Nyie ndo mnamponza Bashe. Siasa za CCM haziko hivyo. Bashe ana angles nyingi za kushughulikiwa tena kirahisi sana. Kibaya zaidi nyie wapinzani mnavyomsifia ndo mnaharibu zaidi
Nani amekwambia mimi ni mpinzani? Napinga nini kwanza? Ujinga umewafanya muone kila anayekosoa na kushauri ni mpinzani.
 
Bashe aache Kiburi na kujifanya anajua
Wewe unaona huyo muiaji na jambazi la kupora mali za watu ana akili timamu? Makonda kuliko haki yake ni gerezani, siyo kuwahoji mawaziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…