Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
waaambie hapana chezea sukuma gangMheshimiwa Bashe Alikosea sana kutoa kauli ile hadharani na kuleta picha ya kama dharau kwa watu.ukiwa kiongozi unatakiwa utambue wapi uzungumze na wapi ukae kimya.uongozi mzuri ni pamoja na kuchagua maneno na kauli za kuzungumza mbele za watu.sasa alikuwa anatunishiana na nani misuli? Kwamba katibu mkuu wa chama ni mdogo kwake na hawezi mwambia chochote? Kwamba makamu mwenyekiti wetu wa chama ni mdogo kwake na hawezi mwambia chochote? Hii ni dharau na kujisahau ulikotokea.