Makonda ampa Kiongozi wa Ardhi dakika 5 kutoa hati ya Mwananchi

Nchi hii kwa kweli hatutafika kama litmus test ya mkoa mmoja wa Arusha mambo ndio haya. Hivi hawa watendaji wa serikali huwa pia wana perfomance review au human resources wao pia wanamsubiria Makonda? Nchi nzima uozo kila sehemu. halafu hawa watumishi wana manano matamu sana- utasikia, " nalipokea mkuu"...
 
Kama Magu vile
Passport ilitengenezwa kwa siku moja tu, basi tu huwa wanatuzungusha
Lakini dkk 5 haiwezekani kwani kikombe cha maji hicho

Siku hizi vitu kwa system. Bila figisu ndani ya dakika tano tu unapata hati yako.

Tazama youtube video za clinic ya ardhi ya waziri silaa utaona watu wanavyopewa hati hapo hapo mkutanoni
 
Nchi hii kwa kweli hatutafika kama litmus test ya mkoa mmoja wa Arusha mambo ndio haya. Hivi hawa watendaji wa serikali huwa pia wana perfomance review au human resources wao pia wanamsubiria Makonda? Nchi nzima uozo kila sehemu. halafu hawa watumishi wana manano matamu sana- utasikia, " nalipokea mkuu"...
" nalipokea mkuu"...
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

,,
 
Back
Top Bottom