Makonda ampa Kiongozi wa Ardhi dakika 5 kutoa hati ya Mwananchi

Huyu kijana ni Magufuli wa pili sema ndio hivyo mafisadi na wezi hawawezi kumpenda
 
Yupo sahihi wanazungusha zungusha watu bila aibu,haya matoto maofisini yana laana hadi mzee wa miaka 81!?, kweli!?
Ukiyakuta yamevaa visuruali vya kubana na vishati vya kubana havina habari kabisa na Mzee wala nini. !
 
Kwa sisi tuliobahatika kufanya utafiti kwa miaka mingi , kinachoibuliwa mkoani Arusha ni representative sample ya ufisad,i ,wizi na uonevu wanaofanyiwa wananchi mikoa yote ya Tanganyika. Sample huwa haiongopi hata siku moja.

Hata kana Makonda hataweza kutatua matatizo hayo yote kutokana na kupigwa vita na majizi mbalimbali yaliyoko katika uongozi wa CCM na serikali wa ngazi mbalimbali lakini walau amewafungua macho watanganyika kuwa madhambi hayo yametamalaki mikoa yote.

Well done Makonda.
 
Well said mkuu... " nalipokea mkuu"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…