π€£ π€£ π€£Una ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa, DED anakuja kituo cha kazi haupo, wiki ijayo anarudi haupo anaenda kuongea na mwenyekiti wa council kesho yake Baraza la madiwani wanakufukuza kazi kwa utoro kazini. ππ
π€£ π€£ π€£Makonda anafanya kazi ya maelekezo aliyopewa na mteule wake,wala usi hofu! Office Kuu imempa baraka zote yeye pamoja na Silaa!!
Nampendaaa anavyojiamini mkuuHuyu jamaa sio wa kumchukulia poa, kama vile ni mkuu wa nchi mikoa yote saiv tunafatilia yanayoendelea Arusha ila si ajabu hatuwajui hata majina ya wakuu wetu wa wilaya na mikoa,,
Anafanya kazi kuzidi hata aliyemteua
Ni maarufu kuliko mafisadi papa na vitoto vyao kwenye siasa kawafunika vilivyo hawqpendi lakini ndo watafanyaje na kadri siku zinavyoenda ndivyo anazidi kuchanja mbuga na kujikusanyia wafuasi
Katuweza kweli kama ni mganga basi wa kwake ni kibokoNampendaaa anavyojiamini mkuu
Mauwt sijui lrhcw kupiga kelele vile asbh ana press ababaishwi na makelele yaooo
Salute makonda
Kitu cha kwanza nikifika arusha nilisema lazima nkampe kongole yake
Utumishi wa umma nchi hii unachezewa sana. Mungu atusaidie tuHabari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?
Siasi sio uadui
Jumanne njema
Urais mtamu asikuambie mtu, hata huyu aliupata utaona suti sio za mtumba tena π bali NY, Paris na London tuKwa kero alizotatua makonda,ni Bora 2025 tumchague awe rais Kwa ustawi wa nchi yetu na tuachane na huyu wakusafiri Kila siku angani na matokeo sifuri
Huyu jamaa nikama amejua watu wamechoshwa na mambo ya sisiemu!!Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?
Siasi sio uadui
Jumanne njema
Werevu sio kwamba wanaogopa bali wanadhibitiwa mapema sana πSiku moja Shivji akasema Welevu wanaogopa kugombea nafasi hivyo Wajinga watachukua hizo nafasi na kuwaongoza Wajinga wenzao pamoja na welevu Hivyo wakizama wanazama wote.
Hakuna kiti hapo..labda sifa tu ya kuwa mkoani badala ya huko vijijini..mshahara utabaki uleule..kuna taratibu za kupanda vyeo..kilichofanyika hapo ni kubadilishiwa tu majukumu na wakati huo huo kule alikotoka kukibaki wazi na wananchi kukosa huduma yake.Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?
Siasi sio uadui
Jumanne njema
Kama nimesikia vizuri jaendi kuwa hiyo nafasi moja kwa moja..anakwenda kuwa dawati la kusikiliza malalamiko
- DPS ataombewa kibali utumishi na tamisemi
- Aliyepo atapelekwa kwenye idara za RS
- Marekebisho ya mshahara mpk mwaka mwingine wa Fedha
Wewe kiazi uwe na uthubutu wa kutenda kama Makonda?Zamani nilikuwa na sifa Kama Makonda ,wengi walinisifia na wachache wakaniona Sina akili Ila nilikuja kuumbuka badae na aibu kubwa mpaka hapo sikuwa na hamu na kuwa mjuaji kuliko wakubwa wangu
ππ ,Haya bwana mkuu .Wewe kiazi uwe na uthubutu wa kutenda kama Makonda?
Huyu jamaa hana mbamba lazima huyo mtendaji kafanya vizuri tuache roho mbaya na za kwanini jamani. Makonda ni mtu na nusu najua hajakosea kumpa sifa zake huyo mtendaji. Piga kazi makonda keep it upHuyu jamaa sio wa kumchukulia poa, kama vile ni mkuu wa nchi mikoa yote saiv tunafatilia yanayoendelea Arusha ila si ajabu hatuwajui hata majina ya wakuu wetu wa wilaya na mikoa,,