Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Una ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa, DED anakuja kituo cha kazi haupo, wiki ijayo anarudi haupo anaenda kuongea na mwenyekiti wa council kesho yake Baraza la madiwani wanakufukuza kazi kwa utoro kazini. 😂😂