Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

Una ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa, DED anakuja kituo cha kazi haupo, wiki ijayo anarudi haupo anaenda kuongea na mwenyekiti wa council kesho yake Baraza la madiwani wanakufukuza kazi kwa utoro kazini. 😂😂
🤣 🤣 🤣
 
Makonda kama JPM kutwa kumuandika andika
 
Huyu jamaa sio wa kumchukulia poa, kama vile ni mkuu wa nchi mikoa yote saiv tunafatilia yanayoendelea Arusha ila si ajabu hatuwajui hata majina ya wakuu wetu wa wilaya na mikoa,,

Anafanya kazi kuzidi hata aliyemteua
Ni maarufu kuliko mafisadi papa na vitoto vyao kwenye siasa kawafunika vilivyo hawqpendi lakini ndo watafanyaje na kadri siku zinavyoenda ndivyo anazidi kuchanja mbuga na kujikusanyia wafuasi
 
HUYUUU NAMPENSAGA SANA NA KUANZIA LEO N MADEREVA YAAANI ANAJUAAA KUNYOOSHA WAPUUZI MAOFISINI WANGELPA TAKUKURU MAHAKAMA INGENYOOOKA
 
Huyu jamaa sio wa kumchukulia poa, kama vile ni mkuu wa nchi mikoa yote saiv tunafatilia yanayoendelea Arusha ila si ajabu hatuwajui hata majina ya wakuu wetu wa wilaya na mikoa,,

Anafanya kazi kuzidi hata aliyemteua
Ni maarufu kuliko mafisadi papa na vitoto vyao kwenye siasa kawafunika vilivyo hawqpendi lakini ndo watafanyaje na kadri siku zinavyoenda ndivyo anazidi kuchanja mbuga na kujikusanyia wafuasi
Nampendaaa anavyojiamini mkuu

Mauwt sijui lrhcw kupiga kelele vile asbh ana press ababaishwi na makelele yaooo

Salute makonda

Kitu cha kwanza nikifika arusha nilisema lazima nkampe kongole yake
 
Katuweza kweli kama ni mganga basi wa kwake ni kiboko
 
Habari wakuu,

RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake

Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.

Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?

Siasi sio uadui
Jumanne njema
Utumishi wa umma nchi hii unachezewa sana. Mungu atusaidie tu
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kwa kero alizotatua makonda,ni Bora 2025 tumchague awe rais Kwa ustawi wa nchi yetu na tuachane na huyu wakusafiri Kila siku angani na matokeo sifuri
Urais mtamu asikuambie mtu, hata huyu aliupata utaona suti sio za mtumba tena 😄 bali NY, Paris na London tu
Safari kwa Rais mbona nje nje tu kama afya ipo
 
Habari wakuu,

RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake

Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.

Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?

Siasi sio uadui
Jumanne njema
Huyu jamaa nikama amejua watu wamechoshwa na mambo ya sisiemu!!
Anajaribu kujibrand
 
Siku moja Shivji akasema Welevu wanaogopa kugombea nafasi hivyo Wajinga watachukua hizo nafasi na kuwaongoza Wajinga wenzao pamoja na welevu Hivyo wakizama wanazama wote.
Werevu sio kwamba wanaogopa bali wanadhibitiwa mapema sana 👁

Ndio maana unaona sheria hairuhusu mgombea binafsi katika uchaguzi wowote ule 👁😳😷
 
Habari wakuu,

RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake

Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.

Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?

Siasi sio uadui
Jumanne njema
Hakuna kiti hapo..labda sifa tu ya kuwa mkoani badala ya huko vijijini..mshahara utabaki uleule..kuna taratibu za kupanda vyeo..kilichofanyika hapo ni kubadilishiwa tu majukumu na wakati huo huo kule alikotoka kukibaki wazi na wananchi kukosa huduma yake.
 
  • DPS ataombewa kibali utumishi na tamisemi
  • Aliyepo atapelekwa kwenye idara za RS
  • Marekebisho ya mshahara mpk mwaka mwingine wa Fedha
Kama nimesikia vizuri jaendi kuwa hiyo nafasi moja kwa moja..anakwenda kuwa dawati la kusikiliza malalamiko
 
Huyu jamaa sio wa kumchukulia poa, kama vile ni mkuu wa nchi mikoa yote saiv tunafatilia yanayoendelea Arusha ila si ajabu hatuwajui hata majina ya wakuu wetu wa wilaya na mikoa,,

Anafanya kazi kuzidi hata aliyemteua
Ni maarufu kuliko mafisadi papa na vitoto vyao kwenye siasa kawafunika vilivyo hawqpendi lakini ndo watafanyaje na kadri siku zinavyoenda ndivyo anazidi kuchanja mbuga na kujikusanyia wafuasi
Huyu jamaa hana mbamba lazima huyo mtendaji kafanya vizuri tuache roho mbaya na za kwanini jamani. Makonda ni mtu na nusu najua hajakosea kumpa sifa zake huyo mtendaji. Piga kazi makonda keep it up
 
Back
Top Bottom