Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

Hivi hivi kiutani Makonda atakuja kuwa King Maker au Ndio awe King mwenyewe maana **** vacuum kubwa sana yeye anapita humo kuonekana anafaa na anatatua matatizo hata kama anaigiza kumbe wajinga wengi wanaona ndio mtu
Makonda anafanya kazi ya maelekezo aliyopewa na mteule wake,wala usi hofu! Office Kuu imempa baraka zote yeye pamoja na Silaa!!
 
Any publicity is good publicity
 
Habari wakuu,

RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake

Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.

Swali langu atafanya kazi kama nani pale na kwa salary scale ipi?

Siasi sio uadui
Jumanne njema
Mkuu ukizingatia ya Makonda utumwa bure! 🤣 🤣 🤣
 
Kwa kero alizotatua makonda,ni Bora 2025 tumchague awe rais Kwa ustawi wa nchi yetu na tuachane na huyu wakusafiri Kila siku angani na matokeo sifuri
Mkuu usisahau fomu ni moja tu ya kugombea urais CCM! Hivi ubunge kule kigamboni alipita???
 
Hivi watanzania tuna laana ama hii nchi imejaa machizi???Hivi kero tunazoona watu wanalia hawajapata haki unakuta bado kuna mbulukenge inakuja kutukana Makonda...dah.. Mnataka viongozi wasio wasikiliza sometime unaona ni bora tu viongozi wanavyoyaburuza ma tz maana akili ni sifuri bin zero
Mkuu unafikiri ni wajinga, inawezekana wewe ndiye ulipofiushwa na mahaba ya makonda.

Tutajie kero aliyotatua Dar es salaam akiwa Mkuu wa mkoa na nchi nzima akiwa Mwenezi.

Kupayuka na kusingizia watumishi kuwa ni mafisadi. Tutajie kesi alifunga so far dhidi ya mafisadi!!!
 
Hivi watanzania tuna laana ama hii nchi imejaa machizi???Hivi kero tunazoona watu wanalia hawajapata haki unakuta bado kuna mbulukenge inakuja kutukana Makonda...dah.. Mnataka viongozi wasio wasikiliza sometime unaona ni bora tu viongozi wanavyoyaburuza ma tz maana akili ni sifuri bin zero
Mkuu ngosha wa mwanza, watanzania tumelogwa. Na aliyetuloga kesha tangulia mbele za haki.
 
Ni kweli kabisa, ukombozi wa blacks kwenye maisha ni ngumu sana.. unafiki umekithiri. Makonda anajitahidi kupunguza maumivu ya wanyonge, lakini bado wanampiga vita..
Mkuu hakuna mtanzania mnyonge, hayo ni maneno ya kusadikika!!
 
Wajinga wajinga wanaompinga Makonda, siku wazinduke kwenye ujinga wao wamuunge mkono Makonda, TANZANIA tutaànza kupiga hatua kubwa sana kimaendeleo

Nchi hii inacheleweshwa na wazembe, wala rushwa pamoja na wapiga majungu maofisini
Mkuu tulipiga hatua akiwa Mwenezi??? Unachekesha kweli, Makonda apige Kiki za kipanzi Arusha halafu watu Katavi wapate maendeleo, kweli??? Hiyo Mkuu ni ndoto ya alinacha!!
 
Hivi hivi kiutani Makonda atakuja kuwa King Maker au Ndio awe King mwenyewe maana **** vacuum kubwa sana yeye anapita humo kuonekana anafaa na anatatua matatizo hata kama anaigiza kumbe wajinga wengi wanaona ndio mtu
Mkuu taja matatizo aliyotatua so far huko Arusha??? Au akiwa Mwenezi???
 
Hata Magufuli alihatarisha maisha yake bure tu. Matanzania siyo ya kupigania. Ni ya kuacha tu mpaka maisha yawe magumu kabisa kabisa yashindwe kula hata mlo mmoja huku majamaa yakiiba mabilioni na matrilioni bila hofu labda itafika mahali yataona uchungu na kuamua kujikomboa.

Hakuna mtu mnafiki kama Mtanzania aisee!
Mkuu utasubiri sana, na utawaacha walivyo!!
 
1. Hongera kwa huyo mtu kwa utendaji kazi mzuri hadi kupanda cheo
2. Kwa kifupi makonda hana mamlaka ya kumpandisha mtu cheo, maana yeye sio mwajiri kiutendaji labda afanye hvyo kwa niaba ya mamlaka toka kwingne na sio kwa utashi wake
3. Hakuna cheo cha msaidizi wa mkuu wa mkoa kilichopo ni katibu tawala mkoa(RAS)
4. Ushauri tu kwa huyo aliyepanda cheo, ni heri aendelee kuwa ktk cheo chake cha muundo kuliko kwenda kuwa chawa wa mkuu wa mkoa maana makonda akipigwa chini ajue atapata tabu sana
✍️📝👌👍👏🤝🙏🛡️
 
Back
Top Bottom