Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hapo inategemea Diamond atacheza vipi karata zake, yeye na Zari wanawatoto wawili kitu ambacho kinaweza kua advantage kwenye ku reconcile kama akidhamiria,lakini karata ya kwanza(kwenda public issues ya Mobeto) kaicheza vibaya kwa mtazamo wanguHasa akiwa yule unaempenda hata akikununulia box la chocolate tu yamekwisha. Tatizo hawa maisha yao yako insta lazima waangalie watu watareact vipi.
Ndo hivyo inabidi ujifunze japo kalenda mkuu ...anavyokuambia yupo kwenye Mp kama mchepuko wako wa kudumu utakuwa unaelewa tu siku zake za nzuri za kushika mimba (nyie mnaita za hatari) hivyo unatumia silaha za mahangamizi maana kuna age flani mwanamke huamua kuwa na mtoto baada ya kushindwa kupata mtu perfect wa kufanya nae maisha...wengine huomba mimba na wengine hutegeshea lakini pia wengi wao pamoja na kutegeshea huwa wamejipanga kulea wenyewe ila ukijiongeza kama baba ni bonus ila wengine wanakutegeshea na wanapita kutoa shutuma (hivyo hakuna namna mwanamke akipata mimba ni umeamua mwenyewe hivyo jipange namna ya kulea na kulifikisha kwa mkeo pia vinginevyo tumia condom)Wazungu hawategeshi Mimba ovyo ovyo kama Wanawake zetu wa Manzese.
Zari amempenda sana Diamond na yuko proud to be the only woman in his life. Kitendo cha Diamond kukubali mtoto in public it was ahumiliation to Zari. Lakini Diamond anaweza kucheza na akili ya Zari vile anavyopenda public ijue.Hapo inategemea Diamond atacheza vipi karata zake, yeye na Zari wanawatoto wawili kitu ambacho kinaweza kua advantage kwenye ku reconcile kama akidhamiria,lakini karata ya kwanza(kwenda public issues ya Mobeto) kaicheza vibaya kwa mtazamo wangu
Though sina hakika kama the two make a perfect couple lakini napenda na natamani wayamalize warudi kama zamani...that's my wish atleasZari amempenda sana Diamond na yuko proud to be the only woman in his life. Kitendo cha Diamond kukubali mtoto in public it was humiliation to Zari. Lakini Diamond anaweza kucheza na akili ya Zari vile anavyopenda public ijue.
Mbona wana watoto zaid ya 4Hata Victoria Beckham alishavumilia infidelities za David lakini hakuna iliyofikia kuzaa nje.
David hana mtoto mwingine zaidi ya alozaa na VictoriaMbona wana watoto zaid ya 4
Ngoja wajua waje watuze mkuuKwani makonda anamtto ?
utamu dada....hhhaahahaaaaaaa....ila daimo kaharibu sanaMtu anapoamua kuzaa inamaana amepiga dry kweli dunia hii kupiga dry hii
Hata Zari alikuja kwa Naseeb akiwa na watoto, ngoja jamaa afanye balance ya equation.Hata Victoria Beckham alishavumilia infidelities za David lakini hakuna iliyofikia kuzaa nje.
Pia na misambwanda hutofautiana wachaga wana flat screen, si kama wahaya
Sasa Diamond kafunga ndoa lini?!!Mtoto Wa nje nialiezaliwa kabla ya ndoa Na wandani nibaada ya ndoa
Nasikia walifungaSasa Diamond kafunga ndoa lini?!!
Mambo ya kuingilia mambo binafsi na ndoa za watu hayaBaada ya Diamond kuweka wazi kuwa kazaa nje ya ndoa, mwananziki mkongwe Profaseer jay ampongeza Diamond kuwa mkweli.
Upande mwingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameguswa na uchungu na kumwandikia ujumbe wa pole zari the boss lady kujua yote pitia video hii.