Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa.
Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao wana mgogoro wa mpaka na Kikosi cha jkt. MAKONDA NIMEKUPA HESHIMA YAKO HAKIKA WEWE NI KIONGOZI MZURI SANA unayejali unaowaongoza na unayejua na kuzingatia Maslahi ya Usalama wa Taifa.
Tofauti na Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe Halima Bulembo ambaye badala ya kuwa Kiongozi yeye akawa anajenga chuki . Nakumbuka katika mkutano wake Kigamboni mbele ya wananchi anamuambia Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Chalamila kuwa MHESHIMIWA HAWA WANANCHI WANAPIGWA NA WANAJESHI WA HAPA NA KUU...., HIVYO SEMA JAMBO MHESHIMIWA ILI WANANCHI HAWA WAWEZE KUPONA.
IMAGINE NI KIONGOZI HUYO.
UMRI WANGU HUU WA MIAKA 62+ NDIO NASHUHUDIA HILI NA NILISIKITIKA ZAIDI KWA KUWA BABA YAKE NI KATI WA WATU WAZALENDO SANA KATIKA TAIFA HILI