Pre GE2025 Makonda anajishusha hadhi sana na kumdhalilisha Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

robbyr

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
129
Reaction score
221
Sijawahi kuamini kwamba MAKONDA Ana AKILI TIMAMU. Yule kweli hajarnda shule hajui lolote kuhusu administration/utawala waa leadership.
Ana amini kwenye maguvu
 
Gambo ni mnafiki hafai,haiwezekani gambo kila kiongozi anaeteuliwa Arusha anagombana nae
Amegombana na Mkuu wa wilaya aliepita,sasa kahamia kugombana na Mkuu wa mkoa

Amalizie ubunge wake aondoke
 
Sijawahi kuamini kwamba MAKONDA Ana AKILI TIMAMU. Yule kweli hajarnda shule hajui lolote kuhusu administration/utawala waa leadership.
Ana amini kwenye maguvu
Aloenda shule na anajua utawala nani hapo green party?
 
Gambo ni mnafiki hafai,haiwezekani gambo kila kiongozi anaeteuliwa Arusha anagombana nae
Amegombana na Mkuu wa wilaya aliepita,sasa kahamia kugombana na Mkuu wa mkoa

Amalizie ubunge wake aondoke
Wapare ni wagomvi sana,na kila kitu wanajua!
 
Ubunge utawatoa roho hao vijana
 
Mkuu huu Mwaka bagamoyo inakuwaga na utajiri WA gafla Tena kwa vibabu havina HATA nyumba za tofali
 
Wadau twende kwenye facts, Kwani Makonda amekwisha tangaza nia ya kugombea Ubunge mahala popote katika nchi yetu. Mbona naona kama tunadandaia gari kwa mbele. Gamba imedhihirika wazi kwamba ni mkwepaji wa vikao,hata heshima kwa Makonda kama Mkuu wa Mkoa hampi. Kutwa kujitetea
 
Kiufupi anatakiwa afukuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…