Pre GE2025 Makonda anajishusha hadhi sana na kumdhalilisha Rais

Pre GE2025 Makonda anajishusha hadhi sana na kumdhalilisha Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa.

Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hakuna kiongozi Msukuma duniani asiye na fitina na majungu. Hiyo ni jadi yao.
 
Gambo ni mnafiki hafai,haiwezekani gambo kila kiongozi anaeteuliwa Arusha anagombana nae
Amegombana na Mkuu wa wilaya aliepita,sasa kahamia kugombana na Mkuu wa mkoa

Amalizie ubunge wake aondoke
Umesema kweli! Gambo ana shida sana! Ni kama mchawi Fulani hivi! Tangu amemfitini mkuu wa mkoa Kijiko hatakaa salama!
 
Gambo awe waziri Mkuu serikali ijayo!
Ili akomeshe wizi,rushwa na kurudisha bandari yetu
 
HAPO bangi haijahalalishwa

Hao madiwani sijui wangekuwaje

Aisee
 
..Mrisho Gambo alikuwa akimdhalilisha Godbless Lema.

..Paul Makonda alikuwa akimdhalilisha Said Kubenea, na Halima Mdee.
 
Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa.

Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Rais amfukuze tuu yaani mbwembwe Zote za maihizo ilikuwa ni kujikosha kutaka Ubunge 👇👇

View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894733650840654253?t=jlbatsAYYMubIzI_UPHwfQ&s=19
 
Ubunge unatakiwa kwa Mbivu na Mbichi, anautaka Ubunge wa Arusha kwa Mbivu na Mbichi hata kwa kutumia figisu ila Gambo sio mnyonge lazima ajibu mapigo ila wakikutana wanagonga 🍻
Hapo kukutana wanagonga cheers umetupanga mkuu
 
Hapo kukutana wanagonga cheers umetupanga mkuu
Hao wana kabisa pamoja na kwamba wanapigana spana ila ni wana kabisa glass lazima zigongwe ila spana pia lazima zipigwe, Jimbo la Arusha linagombewa
 
Makonda ni mtu wa majungu na hupenda sana kuwachongea wenzake kwa manufaa yake binafsi
Nchi yetu huokota mambumbu hivi kurudisha maendeleo ya sehemu kimkakati. Lengo utalii udorore Arusha, kule ngambo kuinuke.
 
Gambo ni mnafiki hafai,haiwezekani gambo kila kiongozi anaeteuliwa Arusha anagombana nae
Amegombana na Mkuu wa wilaya aliepita,sasa kahamia kugombana na Mkuu wa mkoa

Amalizie ubunge wake aondoke
gambo anagombana na watu ambao hawana shule kichwani
 
Ubunge unatakiwa kwa Mbivu na Mbichi, anautaka Ubunge wa Arusha kwa Mbivu na Mbichi hata kwa kutumia figisu ila Gambo sio mnyonge lazima ajibu mapigo ila wakikutana wanagonga 🍻
Kweli sio wakuamini hawa watu
 
Back
Top Bottom