Pre GE2025 Makonda anajishusha hadhi sana na kumdhalilisha Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa.

Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwacheni Gambo apate alichokua anamfanyia Lema…Utamu kunoga!
 
Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa.

Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Dogo hajielewi ndio shida,yaani ukimdhamin hachelewi kukuangisha.
 
Back
Top Bottom