Hakuna kiongozi Msukuma duniani asiye na fitina na majungu. Hiyo ni jadi yao.Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa.
Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umesema kweli! Gambo ana shida sana! Ni kama mchawi Fulani hivi! Tangu amemfitini mkuu wa mkoa Kijiko hatakaa salama!Gambo ni mnafiki hafai,haiwezekani gambo kila kiongozi anaeteuliwa Arusha anagombana nae
Amegombana na Mkuu wa wilaya aliepita,sasa kahamia kugombana na Mkuu wa mkoa
Amalizie ubunge wake aondoke
Jamaa ni mpare?Wapare ni wagomvi sana,na kila kitu wanajua!
βοΈJamaa ni mpare?
Rais amfukuze tuu yaani mbwembwe Zote za maihizo ilikuwa ni kujikosha kutaka Ubunge ππKiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa.
Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hapo kukutana wanagonga cheers umetupanga mkuuUbunge unatakiwa kwa Mbivu na Mbichi, anautaka Ubunge wa Arusha kwa Mbivu na Mbichi hata kwa kutumia figisu ila Gambo sio mnyonge lazima ajibu mapigo ila wakikutana wanagonga π»
Hao wana kabisa pamoja na kwamba wanapigana spana ila ni wana kabisa glass lazima zigongwe ila spana pia lazima zipigwe, Jimbo la Arusha linagombewaHapo kukutana wanagonga cheers umetupanga mkuu
Nchi yetu huokota mambumbu hivi kurudisha maendeleo ya sehemu kimkakati. Lengo utalii udorore Arusha, kule ngambo kuinuke.Makonda ni mtu wa majungu na hupenda sana kuwachongea wenzake kwa manufaa yake binafsi
gambo anagombana na watu ambao hawana shule kichwaniGambo ni mnafiki hafai,haiwezekani gambo kila kiongozi anaeteuliwa Arusha anagombana nae
Amegombana na Mkuu wa wilaya aliepita,sasa kahamia kugombana na Mkuu wa mkoa
Amalizie ubunge wake aondoke
KabisaRais amfukuze tuu yaani mbwembwe Zote za maihizo ilikuwa ni kujikosha kutaka Ubunge ππ
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894733650840654253?t=jlbatsAYYMubIzI_UPHwfQ&s=19
Conclude basi mkuu