kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,229 Reaction score 11,531 Feb 26, 2025 #41 900 Itapendeza zaidi said: gambo anagombana na watu ambao hawana shule kichwani Click to expand... Safari hii atanyooka
900 Itapendeza zaidi said: gambo anagombana na watu ambao hawana shule kichwani Click to expand... Safari hii atanyooka
R RESILIENT KATO JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 1,472 Reaction score 2,766 Feb 26, 2025 #42 Siasa za tanzania hazihitaji shule kihivyo!!Musukuma anapeta sana!!
Hamiyungu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 594 Reaction score 751 Feb 26, 2025 #43 robbyr said: Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa. Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Click to expand... Mwacheni Gambo apate alichokua anamfanyia Lema…Utamu kunoga!
robbyr said: Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa. Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Click to expand... Mwacheni Gambo apate alichokua anamfanyia Lema…Utamu kunoga!
JET SALLI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 2,392 Reaction score 1,578 Feb 26, 2025 #44 robbyr said: Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa. Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Click to expand... Dogo hajielewi ndio shida,yaani ukimdhamin hachelewi kukuangisha.
robbyr said: Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa. Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Click to expand... Dogo hajielewi ndio shida,yaani ukimdhamin hachelewi kukuangisha.
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Feb 26, 2025 #45 Siasa ni mchezo mchafu