Makonda waziri wa Samia amesema anakusudia kujenga msikiti wa dola milioni 80 mpaka 100 Arusha kwa ajili ya Utalii watu kutembelea na pia watu wa hadhi ya ubunge kupata sehemu nzuri ya kuswalia.
Mimi nafikiri hajashauriwa na kuelewesha vizuri . Arusha ni mji wa Wakristo wengi, Waislamu ni wachache (minority). Huo msikiti ni bora angeshauriwa kuujenga Zanzibar au Dar.
Uislamu haupo hivyona pia watu wa hadhi ya ubunge kupata sehemu nzuri ya kuswalia
kibunda kirefu sanaWafadhili
Anaeiga hapo ni nani sasa!wanaiga Kanisa, muslims hakuna kitu wanajua, they are not creative, low iq, na wagomvi kila kitu wanaiga, Christians wakifanya jambo na wao wanafwatia kuiga, hata dini yao yenyewe islam Muhammad ali-plagiarized Bible halafu wakabadilisha ya kwenye Biblia na kuyachukuwa kusema ni yao, utasikia sijui isa mara bin mariam wtf?
Arusha nafikiri kuna kanisa kubwa sasa nao muslims wanajibu, swali ni kwamba walikuwa wapi siku zote?
na ukitaka kujua kwamba muslims siyo creative angalia hata majina yao, hawana ubunifu wa majina kabisa wana majina machache sana wote wanaitwa muhamad, ahmed au abdu hakuna majina zaidi ya hao ...
takwimu za nini wakati inaonekana kwa macho? Waislam wa Arusha ni wahamiaji hasa warangi na watu kutoka maeneo ya Tanga ambao ni waislam, pia kuna wapare waislam, the rest Arusha yote ni wakristo kama ilivyo Kilimanjaro, Kagera, Mbeya na IringaArusha ni mji wa kikristo kwa takwimu zipi?
Hakuna mji wa wakristo wala waislam kwa Tanzaniatakwimu za nini wakati inaonekana kwa macho? Waislam wa Arusha ni wahamiaji hasa warangi na watu kutoka maeneo ya Tanga ambao ni waislam, pia kuna wapare waislam, the rest Arusha yote ni wakristo kama ilivyo Kilimanjaro, Kagera, Mbeya na Iringa