J_Okay
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 319
- 196
amekwambia anatumia pesa za serikali?Nadhani serikali Ifikirie upya suala hili, fedha hizo ni nyingi sana hakuna faida ya kujenga nyumba ya ibada kwa thaman hio.
Hata Mtume Muhammad S.A.W hakuhimiza wafuasi wake wajenge misikiti yenye nakshi za dhahabu.
Vivyo hivyo kwa wakristo mtangulizi wa dini hakuelekeza ujengaji wa majengo ya gharama Jesus Christ.
I
Hii ni kwamba serikali na mamlaka ziboreshe huduma za msingi kama afya, elimu na miundombinu.
Leo hii huduma za afya imekua changamoto kwa wazee Pia afya ya mama na mtoto haipewi kipaumbele kwa vitendo ila nikwa maneno.
Nadhani tunapaswa kupinga UMASKINI KWA VITENDO NASI MANENO
Haina maana kukosoana na kuchukiana kisa DINI ilihali huyo MUNGU hayupo kuja kujitetea.
Leo muslim anaweza kua christian na kinyume chake pia. Kama Huelewani na wanadamu wenzio hapa duniani Unao waona usifikiri mbinguni AU peponi unaelewana na mtu ONCE A HATER, AlWAYS A HATER.