Hussein Mbega
JF-Expert Member
- Jun 7, 2026
- 562
- 1,253
MkuuMashoga kama nyinyi ndio maana tunasema ni halali kuwakata vichwa bila ya kupepesa macho
Hapo sasa unakosa hoja.
MkuuMashoga kama nyinyi ndio maana tunasema ni halali kuwakata vichwa bila ya kupepesa macho
Hizi ndizo ''siasa za usanii'' anazoziweza Makonda. Yeye ana-deal na vitu ambavyo huamsha hamasa kwa watu wajinga. Na amini, wajinga ni wengi ndiyo maana anatumia huu upenyo. Tanzania inahitaji viongozi wenye vision, wenye mipango na wanaofanya mambo ili kuendeleza nchi na siyo hawa wa stunt politician kama huyu kenge. Ukiwa unarodhesha ujinga wake list ni ndefu 1. Kuleta wasanii na wanamichezo au watu maarufu 2. Kusafiri kwa gharama kubwa ili tu apige picha na watu maarufu huku ameshika nguo yenye picha ya Samia... 3. Wanandoa kutoka nje ya mkoa wa Arusha kupewa kumbi za harusi bure kama watafungia ndoa Arusha (gharama ya kusafirisha maarusi, ndugu na jamaa itazidi gharama ya ukumbi mara kumi)....... List ni ndefu na hakuna chochote chenye tija ambacho ameshakifanya tangu akiwa mkuu wa Mkoa wa Dar.Makonda waziri wa Samia amesema anakusudia kujenga msikiti wa dola milioni 80 mpaka 100 Arusha kwa ajili ya Utalii watu kutembelea na pia watu wa hadhi ya ubunge kupata sehemu nzuri ya kuswalia.
Mimi nafikiri hajashauriwa na kuelewesha vizuri . Arusha ni mji wa Wakristo wengi, Waislamu ni wachache (minority). Huo msikiti ni bora angeshauriwa kuujenga Zanzibar au Dar.
===========
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda amesema anatarajia kujengwa kwa msikiti mkubwa Jijini Arusha ambao, mbali na kuwa sehemu ya ibada, pia utakuwa kivutio cha utalii.
Makonda amesema Arusha inapaswa kutumia fursa zinazotokana na wageni na matukio makubwa yanayofanyika Jijini humo ili kuongeza shughuli za biashara na kukuza uchumi wa wananchi.
“Tunampango mkubwa hapa Arusha wa kujenga msikiti, sio wa Watu kuishia kuswali tu, bali utalii; yaani mtu akifika anaenda kutalii,” amesema Makonda.
Aidha, Makonda amewapongeza viongozi walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa uongozi ni dhamana na jukumu la kusukuma mbele maono ya Taifa.
Serikali gani ifikirie wakati ndiyo hasa inataka? Wewe huoni serikali inataka wanasiasa matapeli wa kupumbaza raia? Hili ni sula la wananchi wenyewe kulishughulikia kwa kuvurumisha hawa wahuni. Bila hivyo raia mkiendea kulia lia na kusema kila kitu sijui malamka, serikali hakutakuwa na mabadiliko.Nadhani serikali Ifikirie upya suala hili, fedha hizo ni nyingi sana hakuna faida ya kujenga nyumba ya ibada kwa thaman hio.
Hata Mtume Muhammad S.A.W hakuhimiza wafuasi wake wajenge misikiti yenye nakshi za dhahabu.
Vivyo hivyo kwa wakristo mtangulizi wa dini hakuelekeza ujengaji wa majengo ya gharama Jesus Christ.
I
Hii ni kwamba serikali na mamlaka ziboreshe huduma za msingi kama afya, elimu na miundombinu.
Leo hii huduma za afya imekua changamoto kwa wazee Pia afya ya mama na mtoto haipewi kipaumbele kwa vitendo ila nikwa maneno.
Nadhani tunapaswa kupinga UMASKINI KWA VITENDO NASI MANENO
Haina maana kukosoana na kuchukiana kisa DINI ilihali huyo MUNGU hayupo kuja kujitetea.
Leo muslim anaweza kua christian na kinyume chake pia. Kama Huelewani na wanadamu wenzio hapa duniani Unao waona usifikiri mbinguni AU peponi unaelewana na mtu ONCE A HATER, AlWAYS A HATER.
Hili jukwa siku hizi limekua na vijana wapumbavu sana.Mimi nafikiri hajashauriwa na kuelewesha vizuri . Arusha ni mji wa Wakristo wengi, Waislamu ni wachache (minority). Huo msikiti ni bora angeshauriwa kuujenga Zanzibar au Dar.
ndio madhara ya kuongozwa na mgeniBil 200 unajenga msikiti Arusha pamekuwa Macca hizo ni akili au MATOPE ? Kwanini usijenge chuo kikuu chenye misingi ya kiislamu mana jamaa wana chuo kimoja tu chenyewe tia maji tia maji
Makonda waziri wa Samia amesema anakusudia kujenga msikiti wa dola milioni 80 mpaka 100 Arusha kwa ajili ya Utalii watu kutembelea na pia watu wa hadhi ya ubunge kupata sehemu nzuri ya kuswalia.
Mimi nafikiri hajashauriwa na kuelewesha vizuri . Arusha ni mji wa Wakristo wengi, Waislamu ni wachache (minority). Huo msikiti ni bora angeshauriwa kuujenga Zanzibar au Dar.
===========
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda amesema anatarajia kujengwa kwa msikiti mkubwa Jijini Arusha ambao, mbali na kuwa sehemu ya ibada, pia utakuwa kivutio cha utalii.
Makonda amesema Arusha inapaswa kutumia fursa zinazotokana na wageni na matukio makubwa yanayofanyika Jijini humo ili kuongeza shughuli za biashara na kukuza uchumi wa wananchi.
“Tunampango mkubwa hapa Arusha wa kujenga msikiti, sio wa Watu kuishia kuswali tu, bali utalii; yaani mtu akifika anaenda kutalii,” amesema Makonda.
Aidha, Makonda amewapongeza viongozi walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa uongozi ni dhamana na jukumu la kusukuma mbele maono ya Taifa.
Hata Dar Jumapili na December wakati wa Krismasi mji huwa mtupu. Je 70% ya wakazi wa Dar ni Wakristo?Tusiende kwa porojo; twende kwa data
Arusha kuna misikiti mikubwa mara mbili au tatu zaidi ya manisa na yote inajaa na ujue misikiti huwa haijengwi ya watu 50 kama makanisa
LAKINI: subiri mwezi wa Ramadhani uende Arusha mjini ipigwe adhana ya kusali au jioni ya 18h30 ambapo wanaswali/wanafuturu. Mji unakuwa mtupu unaweza kucheza mpira barabarani
KWA TAARIFA YAKO MJINI KATI ARUSHA APPROXIMATELY 70% NI WAISLAM
maendeleo ya zambia yapo vipi, kwa muktadha wa uzi ule wa mikoa ya lindi,mtwara,pwani,tanga imedorora kwa sababu in waislamu wengi,Zambia ni nchi ya Kikristo iliyoandikwa kabisa katika katiba na kuna Waislamu, Wahindu na watu wengine wasio Wakristo wanaishi.
Jumapili na Chrismas, kwa sababu za kihistoria; zimekuwa ni siku za mapumziko kwa watu woteHata Dar Jumapili na December wakati wa Krismasi mji huwa mtupu. Je 70% ya wakazi wa Dar ni Wakristo?
Mkuu unafahamu nchi hii kuna mikoa na wilaya ukifika ni kawaida tu kukuta nguruwe wanaswagwa barabarani kama mifugo wengine na kuna wilaya hata ikugundulika umekula kitimoto kwa kificho ndani ya nyumba yako unaweza ukapoteza ujirani au undugu kabisa na wanaokuzunguka?Hiyo hati miliki ya Ukiristo kumiliki Arusha inatoka wapi?
Usijidanganye hivyo, wakina Bakheresa, GSM, Mo, JK na Samia hawawezi kwenda kuswali msikiti wowote tu ule.Uislamu hauna tabaka la hadhi kwenye ibada.
Hata kina Bakhressa na utajiri wao huswali msikiti wowote ulio jirani na huwa anaswali na watu wa tabaka zote bila kujali kipato chao.
Sasa huo msikiti sijui wenye hadhi ya kuswali wabunge, ana maanisha nini? Uislamu hauna tabaka.