Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Arusha ni mji wa kikristo kwa takwimu zipi?
80% ya wakazi wa Arusha city ni Christians, hivyo ni de facto Christian city ...
Arusha ni mji wa kikristo kwa takwimu zipi?
Tanzania hakuna mji wa kikristo mahali popote , bila kujalisha dini mtanzania anaweza kuishi kisheria popote na kujenga nyumba ya ibada ya dini yoyote tu80% ya wakazi wa Arusha city ni Christians, hivyo ni de facto Christian city ...
mbona mambo hayo yako wazi. Angalia jumapili utajionea kwa macho kuwa huo ni mji wa kikristo, ni mingi nchini. Miji ya kiislam nayo ipo, ulishawahi kufika Mafia, Kilwa? au zanzibar? Tena hiyo zanzibar ni nchi kabisa ya kiislam, wakifunga funga yao na wengine wasio waislam hulazimishwa kufunga ni marufuku kula mchana hadharaniHakuna mji wa wakristo wala waislam kwa Tanzania
Unaweza kusema mji huu una wakristo wengi ila hauwezi kusema huu ni mji wa Kristo kisheria, Tanzania hakuna mji wa kikristo wala wakiislamu.mbona mambo hayo yako wazi. Angalia jumapili utajionea kwa macho kuwa huo ni mji wa kikristo, ni mingi nchini. Miji ya kiislam nayo ipo, ulishawahi kufika Mafia, Kilwa? au zanzibar? Tena hiyo zanzibar ni nchi kabisa ya kiislam, wakifunga funga yao na wengine wasio waislam hulazimishwa kufunga ni marufuku kula mchana hadharani
Hiyo ni njia ya yeye na genge lake wanayotumia kutakatisha fedha.Makonda waziri wa Samia amesema anakusudia kujenga msikiti wa dola milioni 80 mpaka 100 Arusha kwa ajili ya Utalii watu kutembelea na pia watu wa hadhi ya ubunge kupata sehemu nzuri ya kuswalia.
Mimi nafikiri hajashauriwa na kuelewesha vizuri . Arusha ni mji wa Wakristo wengi, Waislamu ni wachache (minority). Huo msikiti ni bora angeshauriwa kuujenga Zanzibar au Dar.
===========
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda amesema anatarajia kujengwa kwa msikiti mkubwa Jijini Arusha ambao, mbali na kuwa sehemu ya ibada, pia utakuwa kivutio cha utalii.
Makonda amesema Arusha inapaswa kutumia fursa zinazotokana na wageni na matukio makubwa yanayofanyika Jijini humo ili kuongeza shughuli za biashara na kukuza uchumi wa wananchi.
“Tunampango mkubwa hapa Arusha wa kujenga msikiti, sio wa Watu kuishia kuswali tu, bali utalii; yaani mtu akifika anaenda kutalii,” amesema Makonda.
Aidha, Makonda amewapongeza viongozi walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa uongozi ni dhamana na jukumu la kusukuma mbele maono ya Taifa.
Kaza tu Fuvu ila ukweli unaujua,Tunasemea majority ni WakristoHakuna mji wa wakristo wala waislam kwa Tanzania
Hakuna mji wa kikristo Tanzania , soma katiba ya Tanzania uelewe vizuriKaza tu Fuvu ila ukweli unaujua,Tunasemea majority ni Wakristo
hapa unaongea lugha ya kisheria, tuongelee mukhtadha kiualisiaUnaweza kusema mji huu una wakristo wengi ila hauwezi kusema huu ni mji wa Kristo kisheria, Tanzania hakuna mji wa kikristo wala wakiislamu.
Idadi kubwa ya wakazi wa Tanga ni waislam,Idadi kubwa ya wakazi wa Arusha ni wakristo.Hapo umeelewa Au tulete kitimotoHakuna mji wa kikristo Tanzania , soma katiba ya Tanzania uelewe vizuri
Nangelea uzi wa jamaa kusema kujenga msikiti ndani ya mji wa kikristo , hapa kuna kosa , kila mtu ana haki ya kujenga jengo la kuabudu sehemu yoyote ndani ya Tanzania kama sheria imezingatiwahapa unaongea lugha ya kisheria, tuongelee mukhtadha kiualisia
Nakula kiti moto kwa pesa yangu na mda wangu, rejea kichwa cha mada na mada husikaIdadi kubwa ya wakazi wa Tanga ni waislam,Idadi kubwa ya wakazi wa Arusha ni wakristo.Hapo umeelewa Au tulete kitimoto
Katiba imetoka wapiNakula kiti moto kwa pesa yangu na mda wangu, rejea kichwa cha mada na mada husika
SeenKatiba imetoka wapi
Sawa msomi
Zambia ni nchi ya Kikristo iliyoandikwa kabisa katika katiba na kuna Waislamu, Wahindu na watu wengine wasio Wakristo wanaishi.Tanzania hakuna mji wa kikristo mahali popote , bila kujalisha dini mtanzania anaweza kuishi kisheria kabisa
Zambia sawaZambia ni nchi ya Kikristo iliyoandikwa kabisa katika katiba na kuna Waislamu, Wahindi na watu wengine wasio Wakristo wanaishi.
Sijaongelea msikiti tu, nimeongelea msikiti wa dola milioni 80 mpaka 100 ambao unakusudiwa kuvutia na kuleta hadi watalii wa kushangaa msikiti . Arusha tayari kuna misikiti kadhaaNangelea uzi wa jamaa kusema kujenga msikiti ndani ya mji wa kikristo , hapa kuna kosa , kila mtu ana haki ya kujenga jengo la kuabudu sehemu yoyote ndani ya Tanzania kama sheria imezingatiwa
Hpo ungeweka mji wenye idadi kubwa ya wakristo, mji wa kikristo ina sound na ukakasiSijaongelea msikiti tu, nimeongelea msikiti wa dola milioni 80 mpaka 100 ambao unakusudiwa kuvutia na kuleta hadi watalii wa kushangaa msikiti . Arusha tayari kuna misikiti kadhaa