amekwambia anatumia pesa za serikali?Nadhani serikali Ifikirie upya suala hili, fedha hizo ni nyingi sana hakuna faida ya kujenga nyumba ya ibada kwa thaman hio.
Hata Mtume Muhammad S.A.W hakuhimiza wafuasi wake wajenge misikiti yenye nakshi za dhahabu.
Vivyo hivyo kwa wakristo mtangulizi wa dini hakuelekeza ujengaji wa majengo ya gharama Jesus Christ.
I
Hii ni kwamba serikali na mamlaka ziboreshe huduma za msingi kama afya, elimu na miundombinu.
Leo hii huduma za afya imekua changamoto kwa wazee Pia afya ya mama na mtoto haipewi kipaumbele kwa vitendo ila nikwa maneno.
Nadhani tunapaswa kupinga UMASKINI KWA VITENDO NASI MANENO
Haina maana kukosoana na kuchukiana kisa DINI ilihali huyo MUNGU hayupo kuja kujitetea.
Leo muslim anaweza kua christian na kinyume chake pia. Kama Huelewani na wanadamu wenzio hapa duniani Unao waona usifikiri mbinguni AU peponi unaelewana na mtu ONCE A HATER, AlWAYS A HATER.
Kitu pekee cha asili kilichobaki Arusha na Moshi ni lafudhi tu mengine yote yameenda, masai wamekua walinzi na beach boys, masela wa town wamekua chawa wa Bashite, Hip Pop imekufa, wadudu ni warangi wa Galapo, na wengi wanakuja DSM kuwa makaka poa, noma sana.Hivi watu wa Arusha lile jambo la kumleta Mzee Anodi shoziniga limeishia wapi?? Au atakuja kuzimdua msikiti
Aiseeeee hii imekuwa mbaya sanaKitu pekee cha asili kilichobaki Arusha na Moshi ni lafudhi tu mengine yote yameenda, masai wamekua walinzi na beach boys, masela wa town wamekua chawa wa Bashite, Hip Pop imekufa, wadudu ni warangi wa Galapo, na wengi wanakuja DSM kuwa makaka poa, noma sana.
Hapana Arusha is Christian City.Akajenge Msikiti Tanga au Ntwara.kama makanisa yamefika zenji, msikiti kufika arusha si jambo la ajabu,
cha kustuka hapo ni hizo bei, zinagharamiwa na nani?
kama tukienda kwenye hiyo mikoa ya TANGA na MTWARA tukikuta makanisa, hakutakua ajabu kusimika msikiti mkubwa hapo ARUSHA powered by makondaHapana Arusha is Christian City.Akajenge Msikiti Tanga au Ntwara.
Inajengwa na nguvu za waumini si DP World.kama tukienda kwenye hiyo mikoa ya TANGA na MTWARA tukikuta makanisa, hakutakua ajabu kusimika msikiti mkubwa hapo ARUSHA powered by makonda
hakuna tofaui hapoInajengwa na nguvu za waumini si DP World.