Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

Chuki ni uchafu wa moyo ni hasara kuwa nayo na ni hatari kwa afya ya mwenye nayo!!!!
 
IMG_6069.JPG
 
View attachment 1517346

Naomba wale wanaofahamu masuala ya prokali kwenye misiba ya viongozi wanifahamishe au kama raia yeyote anaweza kuja na kalamu yake ya cello na kuvamia kitabu cha maombolezo na kusaini.

Ni vema hili likawekwa wazi ili na sisi raia wengine tuchukue kalamu zetu twende tukasaini.

Hata wewe waweza kusaini maana hata steve nyerere amesaini! Kusaini kitabu cha maombolezo ni jambo la kawaida wala si jambo la mtu fulani special kila mtu anapaswa kusaini!

Huu utoto ndio unawafanya chadema muonekane chama cha wajinga wajinga maana vitu vidogo kama hivi vina washughulisha!
 
Back
Top Bottom