Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

Nadhani kitabu cha maombolezo kinasainiwa na watu maalum tu, yaani viongozi wakuu walioko madarakani & wastaafu, wageni maarufu, ila kwa hadhi ya Makonda kwa sasa bado anastahili kusaini, sbb Mzee Mkapa alimsaidia kama kijana wa CCM..

Huyu anasaini kwa niaba ya wajumbe wote walioshiriki kukata umeme
 
View attachment 1517346

Naomba wale wanaofahamu masuala ya prokali kwenye misiba ya viongozi wanifahamishe , au kama raia yeyote anaweza kuja na kalamu yake ya cello na kuvamia kitabu cha maombolezo na kusaini .

Ni vema hili likawekwa wazi ili na sisi raia wengine tuchukue kalamu zetu twende tukasaini.
Ni raia mwema wa Tanzania
 
View attachment 1517346

Naomba wale wanaofahamu masuala ya prokali kwenye misiba ya viongozi wanifahamishe au kama raia yeyote anaweza kuja na kalamu yake ya cello na kuvamia kitabu cha maombolezo na kusaini.

Ni vema hili likawekwa wazi ili na sisi raia wengine tuchukue kalamu zetu twende tukasaini.
Mkuu tizama vizuri hiyo picha ya marehemu hapo juu halafu ilinganushe hapo chini kwa mkapa.ya chini mkapa ana kipara na ya juu ina afro iliyojaa hivyo ni tukio lingine tofauti na pia angalia utofauti wa hivyo vitabu..asante alafu uache unaaa
 
Kama alivosaini warioba, sumaye, mzee msekwa, piere likwidi mlevi na raia wengine wa kawaida.
 
View attachment 1517346

Naomba wale wanaofahamu masuala ya prokali kwenye misiba ya viongozi wanifahamishe au kama raia yeyote anaweza kuja na kalamu yake ya cello na kuvamia kitabu cha maombolezo na kusaini.

Ni vema hili likawekwa wazi ili na sisi raia wengine tuchukue kalamu zetu twende tukasaini.

Anasaini kama Bashite aliyeghushi vyeti na kujiita Makonda
 
Kiongozi wa UVCCM enzi za BWM akiwa presidaaa. Swali lingine tafadhali
 
Back
Top Bottom