Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi kweli muheshimiwa ni wakupewa notebook___ ( 640 X 640 ).jpg


Naomba wale wanaofahamu masuala ya protokali kwenye misiba ya viongozi wanifahamishe au kama raia yeyote anaweza kuja na kalamu yake ya cello na kuvamia kitabu cha maombolezo na kusaini.

Ni vema hili likawekwa wazi ili na sisi raia wengine tuchukue kalamu zetu twende tukasaini.
 
Back
Top Bottom