The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Wewe unafikiri kila kitu kinahitaji ushahidi wa kushikika na kuonekana?Weka ushaidi wa makonda kumteka ben saabane, weka hapa wewe unayekaaa ikwiriri. Weka ata kavideo kamoja tuone makonda akimteka mtuu. Yaaani makonda kawashika pabaya campuni ya ufipa yote. Mwacheni achape kaziiiii.
Kuna scenario zingine za uhalifu ushahidi huwa ni mhalifu mwenyewe!
Kwa kesi ya Paul Makonda, ushahidi ni yeye mwenyewe mhalifu. Msikilize na mtazame vyema usoni, utaona kila dalili na alama za uhalifu.
Bado unataka kujua tu?