econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Unamtukana mwenzako mbwa kisa katoa maoni tofauti?. Tuiheshimu Sana ardhi tunayokanyaga, tusijione wa maana kuliko wengine kisa CCM .Naona Hando, mlevi mbwa nae anatoa mchango kwenye jamii.Naona anatumwa na time zero.