Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
- Thread starter
- #41
Soma kwa kuelewa taarifa ya Secretary of State Pompeo juu ya MakondaWeka ushaidi wa makonda kumteka ben saabane, weka hapa wewe unayekaaa ikwiriri. Weka ata kavideo kamoja tuone makonda akimteka mtuu. Yaaani makonda kawashika pabaya campuni ya ufipa yote. Mwacheni achape kaziiiii.