Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
PoleWewe kama ulikuwa Kolomije wakati Makonda anamteka Ben Saanane, Roma Mkatoliki na MoDewji shauri yako.
Ila siku ya Makonda ipo tu atakuja sema mchana kweupe ni nani alimtuma na alizikwa wapi mwili wa Ben Saanane