Kama hamziamini mahakama kwa nini hamuendi kwenye mahakama za kimataifa? Au napo huko kuna CHAWA.?
..kuna mashauri ambayo yamepelekwa ktk mahakama ya Afrika Mashariki, na mahakama ya haki za binaadamu ya Afrika.
..baada ya serikali ya Tanzania kuona inashindwa ktk mashauri mengi ktk mahakama ya Afrika jitihada zilifanyika kujaribu kujitoa ktk mahakama hiyo.