Pre GE2025 Makonda asikitishwa kuona kisima cha maji kilichogharimu tsh milioni 600 Longido hakiwanufaishi wakazi wa eneo hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado wananchi hawajanufaika kwa kupata maji kutokana na mradi huo.

RC Makonda amefika na kutembelea katika mradi huo katika muendelezo wa ziara yake aliyoipa jina la SIKU 6 ZA MOTO ARUSHA ambapo ameanzia leo katika Wilaya ya Longido.

Akikagua mradi huo, RC Makonda amehoji kuhusiana na package ya Tsh Bilioni 520 ya mradi wa maji uliohusisha uchimbaji wa visima 56 ambapo kimoja wapo ndicho cha Longido, kwanini hakijawekewa usanifu wa mtandao wa usambazaji maji kwa wakazi wa eneo hilo.

Katika majibu, AUWSA wamesema bajeti iliyokuwepo ni ya kusambaza maji kupeleka maeneo mbalimbali katika Jiji la Arusha pekee.

Kulingana na majibu hayo, RC Makonda alihoji kutaka kujua ni umbali gani umetumika kusambaza maji Arusha Jiji na kushindwa kusambaza maeneo ya Namanga ambapo ni umbali wa Kilomita 35 pekee pamoja na maeneo ya Longido ambapo ndipo kisima kimojawapo kilipo na ni umbali wa Kilomita 1.9 pekee ili kusambaza maji kwa wananchi.

Katika majibu yake , Kaimu Mkurugenzi wa AUWSA Mhandisi. Upendo Shushu , amekiri kuwa kwasasa kisima hicho hakiwanufaishi wakazi wa Longido.

Kulingana na majibu hayo, RC Makonda ameonesha wazi kusikitishwa kwakuwa katika mradi huo mkubwa wa Tsh Bilioni 520 kulikuwa na mtandao wa usambazaji maji wa kilomita 900 ndani yake lakini cha kusikitisha na kushangaza ni kuona sehemu mojawapo ambapo kisima kimechimbwa (Longido) wakazi hawanufaiki na kisima hiko angali mtandao wa kuwasambazia maji ni kilomita 1.9 pekee.

🗓️23 Mei, 2024
📍Wilayani Longido - Arusha

#ArushaNaUtalii
#ArushaYaSamia
#Siku6ZaMoto
#KaziIendelee
 
RC MAKONDA ASIKITISHWA KUONA KISIMA CHA MAJI KILICHOGHARIMU TSH MILIONI 600 LONGIDO HAKIWANUFAISHI WAKAZI WA ENEO HILO

Aache kupoteza fedha za Umma kwa misafara isiyo na tija.
 
huyu bwana ni mpuuzi sana. anapopita anawajingisha watu kama vile hapajawahi kuwa na mkuu wa mkoa au kiongozi aliyewahi kuwapo hapo. hii ni aina ya uongozi wa kipuuzi unaoungwa mkono na wapuuzi
 
Hasa kama viongozi walikuepo na kero hawakushughilikia aache tu na yeye akae, ninyi wapuuzi wazembe ndio mnafanya nchi isiendelee kisa ujinga wenu
 
Huyu dada kilomita 900 hazijui...😂😂😂😂
Hakuna umbali wa Km 900 ndani ya mkoa....😂😂😂
 
Pole sana. Hujui hata uongozi maana yake ni nini. Hujui uongozi wa nchi unavyofanya kazi. Ingekuwa kuleta maendeleo ni kutembea na misafara ya magari huku ukisikiliza kero za wananchi unadhani dunia hii kungekuwa na nchi maskini?
 
Huyu dada kilomita 900 hazijui...😂😂😂😂
Hakuna umbali wa Km 900 ndani ya mkoa....😂😂😂
Network ya mabomba kufikia kilometa 900 ni rahisi sana. Kumbuka ni network kusambaza kwenye mji husika. Kuna kuwa na main supply ambazo ni bomba kubwa Kisha Kuna kuwa na distribution pipes ambazo ni bomba ndogo ndogo zinazoweza kufikia kipenyo cha milimita 32. Hizi ndo Huwa nyingi sana
 
Hasa kama viongozi walikuepo na kero hawakushughilikia aache tu na yeye akae, ninyi wapuuzi wazembe ndio mnafanya nchi isiendelee kisa ujinga wenu
shida ninayoiona watz waliowengi akiwemo huyo makonda mwenyewe hawajui utawala. kero za wananchi hazitatuliwi barabarani government works with papers na kwa coordnation siyo mtu mmoja ati anaongozana na magari na makamera kwenda kutatua hizo mnazoita kero. ameshatatua ngapi mpaka sasaivi
 
wabunge wa Mkoa wa Arusha wajipange sana, wataumbuka sana
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado wananchi hawajanufaika kwa kupata maji kutokana na mradi huo.

RC Makonda amefika na kutembelea katika mradi huo katika muendelezo wa ziara yake aliyoipa jina la SIKU 6 ZA MOTO ARUSHA ambapo ameanzia leo katika Wilaya ya Longido.

Akikagua mradi huo, RC Makonda amehoji kuhusiana na package ya Tsh Bilioni 520 ya mradi wa maji uliohusisha uchimbaji wa visima 56 ambapo kimoja wapo ndicho cha Longido, kwanini hakijawekewa usanifu wa mtandao wa usambazaji maji kwa wakazi wa eneo hilo.

Katika majibu, AUWSA wamesema bajeti iliyokuwepo ni ya kusambaza maji kupeleka maeneo mbalimbali katika Jiji la Arusha pekee.

Kulingana na majibu hayo, RC Makonda alihoji kutaka kujua ni umbali gani umetumika kusambaza maji Arusha Jiji na kushindwa kusambaza maeneo ya Namanga ambapo ni umbali wa Kilomita 35 pekee pamoja na maeneo ya Longido ambapo ndipo kisima kimojawapo kilipo na ni umbali wa Kilomita 1.9 pekee ili kusambaza maji kwa wananchi.

Katika majibu yake , Kaimu Mkurugenzi wa AUWSA Mhandisi. Upendo Shushu , amekiri kuwa kwasasa kisima hicho hakiwanufaishi wakazi wa Longido.

Kulingana na majibu hayo, RC Makonda ameonesha wazi kusikitishwa kwakuwa katika mradi huo mkubwa wa Tsh Bilioni 520 kulikuwa na mtandao wa usambazaji maji wa kilomita 900 ndani yake lakini cha kusikitisha na kushangaza ni kuona sehemu mojawapo ambapo kisima kimechimbwa (Longido) wakazi hawanufaiki na kisima hiko angali mtandao wa kuwasambazia maji ni kilomita 1.9 pekee.

🗓️23 Mei, 2024
📍Wilayani Longido - Arusha

#ArushaNaUtalii
#ArushaYaSamia
#Siku6ZaMoto
#KaziIendelee
 
Ulikuwa Longido, makonda akiwa huko au ulikuwa umesinzia?
 
Attachments

  • VID-20240531-WA0057.mp4
    17.4 MB
huyu bwana ni mpuuzi sana. anapopita anawajingisha watu kama vile hapajawahi kuwa na mkuu wa mkoa au kiongozi aliyewahi kuwapo hapo. hii ni aina ya uongozi wa kipuuzi unaoungwa mkono na wapuuzi
Wazembe kazini acha mnyooshwe
 
shida ninayoiona watz waliowengi akiwemo huyo makonda mwenyewe hawajui utawala. kero za wananchi hazitatuliwi barabarani government works with papers na kwa coordnation siyo mtu mmoja ati anaongozana na magari na makamera kwenda kutatua hizo mnazoita kero. ameshatatua ngapi mpaka sasaivi
Nonsense
 
Back
Top Bottom