Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa. Inasemekana kushushwa huko kunatokana na hotuba aliyotoa wakati wa upokezi wa Ndege "flani na flani ni kitu kimoja"!
Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?
Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?