Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #21
Kula mchele wa lishe toka USA, ni muhimu kwa ubongo wako.Hii concept ya kushushwa cheo huwa siielewi, Binafsi naona msemaji wa chama hana mamlaka yoyote zaidi ya kuwa spika ya chama na sasa Makonda kaingia katika utendaji serikalini.
Halafu huyu jamaa sijui ana nini, hapo hata akipewa uwenyekiti wa mtaa atazungumzwa na kutazamwa utendaji wake kuliko waziri.
Kule si alikuwa anatoa magizo kwa waziri mkuu?
Si alikuwa anawaita mawaziri wote kama watoto?
Si alikuwa akiingia mkoa wpwote shughuli zinasimama na inakuwa kama raisi ameingia?