Makonda atafuta staili ya kuingilia Arusha!

Hii concept ya kushushwa cheo huwa siielewi, Binafsi naona msemaji wa chama hana mamlaka yoyote zaidi ya kuwa spika ya chama na sasa Makonda kaingia katika utendaji serikalini.

Halafu huyu jamaa sijui ana nini, hapo hata akipewa uwenyekiti wa mtaa atazungumzwa na kutazamwa utendaji wake kuliko waziri.
Ana vituko ndio maana anazungumzwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Lema mtu mkubwa Sana. Yani analetewa Mkuu wa Mkoa wa kushughulika naye na sio maendeleo.
kama anakua kitovu cha kukwamisha mandeleo iwe kwa kupandikiza chuki nk kuna ubaya gani kushulikiwa
 
umenikosea heshima mkuu kwa sasa nimeshavuka UVCCM ndugu

mkuu wa mkoa kazi yake ni kumwakilisha raisi na ana majukumbu mengi kuyaorodhesha hapa ni kazi
lakina hili la matapeli wahujumu kukimbia jiji komredi anapowasili ni jambo la kawaida kwa kiongozi makini kama makonda
Angekuwa makini angemwagwa kwenye uenezi? Mtu makini anachuja maneno yake kabla hayajamtoka mdomoni kwake. Domo ponza kichwa.
 
Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa.

Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?

View attachment 2953669

View attachment 2953670

View attachment 2953671

View attachment 2953672

View attachment 2953675
Aingie na tenga la Mirungi tu
 
Arusha ni mkoa wakipekee hawezi akija atulie tu ale mema ya nchi wengi wanakuja na vurugu mechi . Wanatulizwa na madola,mawe. Naye atatulia tu . Tulii mtamwona
 
Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa.

Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?

View attachment 2953669

View attachment 2953670

View attachment 2953671

View attachment 2953672

View attachment 2953675
Aingie na majani ya bangi
 
Aingie utupu labda ndio itakuwa ajabu hayo mengine yote ni ya kawaida sana.

Na akiingia utupu hatabaki salama na vijana wa Chuganstan.
 
Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa.

Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?

View attachment 2953669

View attachment 2953670

View attachment 2953671

View attachment 2953672

View attachment 2953675
Hiyo ya kwanza kwenye picha inafaa.
 
Hapa atakua ametia nanga kibingwa zaidi.
20240225_102605.jpg
 
Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa.

Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?

View attachment 2953669

View attachment 2953670

View attachment 2953671

View attachment 2953672

View attachment 2953675
Kiuhalisia ingawa hataki anaitwa Daudi Albert Bashite (DAB)!
 
Back
Top Bottom