econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Ana vituko ndio maana anazungumzwa.Hii concept ya kushushwa cheo huwa siielewi, Binafsi naona msemaji wa chama hana mamlaka yoyote zaidi ya kuwa spika ya chama na sasa Makonda kaingia katika utendaji serikalini.
Halafu huyu jamaa sijui ana nini, hapo hata akipewa uwenyekiti wa mtaa atazungumzwa na kutazamwa utendaji wake kuliko waziri.